Msaada kulipia fastjet kwa mpesa

Msaada kulipia fastjet kwa mpesa

IrDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
745
Reaction score
361
Wadau naomba mnisaidie hili; nimeshafanya booking ticket online kwenye website ya fastjet na nikapewa reference Id,je nikishalipia kwa Mpesa tiketi yangu naipataje(naidownload au inakuaje?)

nb:nimejaribu kuwapigia customer care hawapokei,hivyo naomba msaada
 
kama umeshafanya booking, utakuwa ulijaza imail yako au namba ya simu, watakutumia reference, ukiwa nayo hiyo basi we ukifika airport office yao wape hiyo reference. watakupa tiket. au unaweza kuiprint tu we mwenyewe kutoka email yako. au ingia ktk web yao utakaza hiyo reference itakuja tiketi yako kisha print.
 
shukrani sana mkuu....
 
somo zuri,ngoja na mie nijaribu siku za karibuni.
 
Back
Top Bottom