haibreus
JF-Expert Member
- Oct 1, 2009
- 295
- 106
Hivi kunani FastJet maana nimekata ticket online kupitia Mpesa hapa Tanzania, pesa kweli ikakatwa vizuri lakini sikupata feedback, baadae nikawapigia FastJet wakaniambia kuwa niwaambie Vodacom warudishe pesa nianze upya nikawauliza sababu wakasema hawaioni pesa yangu OK, nikapiga moyo konde nikarudi Vodacom kweli wakarudisha pesa yangu.
Nikaanza hatua upya za booking na nikalipa tena nikasubiri feedback kimya nikawapigia wakasema pesa yangu haipo labda nirudi tena Vodacom, kuanzia hapo nikakaa chini na kuanza kufanya uchunguzi nikagundua yafuatayo;
1. Customer care wa FastJet wengi wanajua English ya hali ya juu ila hawana elimu.
2. Ukifanya malipo kwa Mpesa, pesa zako huenda kwa mawakala wanaojiita Pay Pal ambao wapo Naivasha road, Kenya japo sina uhakika kama wana ofisi au ni nyumbani kwa mtu
3. Hawa PayPal Kenya wao ndio hufanya uwakala na FastJet wa kuprocess malipo na confirmation, tatizo lao hawa wanaonekana wapo kama Richmond flan hivi maana hawako active hadi uwatekenye na simu zao huwa busy all times labda utumie email.
4. Connection kati ya Vodacom ,FastJet na PayPal inaonekana sio nzuri either ni system au ni mambo ya madili au wote hawajui wanachokifanya.
5. FastJet haina tofauti na mabasi ya ubungo.
6. Wahudumu wa FastJet inaonekana ni vibarua kwa sababu wanapenda sana kuomba na kupora vipodozi vya abiria.
7. Wahudumu wa ndani ya ndege hawarudishi change na wanaover price bidhaa.
8. Hakuna uhusiano mzuri kati ya mteja na FastJet in terms of complaints and refund.
9. FastJet ni kampuni ya matapeli japo wanasifa MOJA TU NZURI
10. Sifa nzuri ya FastJet ni kutuwahisha kufika safari zetu ila mengine yote wanahitaji kufanya supplementary.
Nawasilisha