Leo nlikuwa nafanya booking online kwa ajili ya kununua ticket air Tanzania kwa safari ya Dar-Mwanza.
Nlifika hadi sehemu ya kupewa Reference number ya kulipia via mobile phone. Nlivyokuwa nalipia kupitia Mpesa iligoma three times kwa kurudisha sms Transaction is Cancelled.
Nlijaribu kupiga simu customer care ila haikupokelewa.
Ilinilazimu niende Physical ofisi za Air Tanzania kukata ticket.
Nlivyofika pale ndio mhudumu akanijulisha kuwa malipo yalikuwa rejected maana Service Charge haikuwa Included kwenye Fare Calculation area.
Nkiwa airport kuna mtu nlimsikia akizungumza case kama yangu.
Najiuliza ni watu wangapi wameshindwa kukata Ticket kwa tatizo hili?.
Maana kwenye ndege tulikuwa abiria wachache almost nusu ya viti havikuwa na watu.
Wito wangu kwa Viongozi husika ni kuhakikisha mnakuwa na strong customer care service. Wekeni na namba zenu za simu kwenye website ili za ofisini zisipopokelewa tuwapigie nyie kutatua matatizo yetu.
BR.