msaada:kujua office za TCU ziko wapi?

brian360

JF-Expert Member
Mar 14, 2012
224
30
inabidi tu kesho niende kwa hawa tcu maana hivi vibwanga katika web page yao inatutia mashaka watu kuingia university kwa wenzangu wenye Div II
 
tatizo lako ni nini mkuu?

tatizo langu mkuu kila ni napo log in through their web page inanirudisha kwenye ileile page surely wameni dissapoint nilijua through online mambo yatakuwa safi kumbe tabu hiv! Sasa ile bureaucracy kaka zetu walizolalamika kaka zetu na dada zetu kipind cha udahili wao hamna tofauti na adha hii,na pia nasikia wamevamiwa hiyo deadline yao itaongezwa au?
 
inabidi tu kesho niende kwa hawa tcu maana hivi vibwanga katika web page yao inatutia mashaka watu kuingia university kwa wenzangu wenye Div II

Ofisi zao ziko mikocheni mbele kidogo ya rose garden bar kama unatokea traffic lights za sayasi kijitonyama. Ukishapita rose garden mbele kidogo utaona bango lao hao TCU
 
inabidi tu kesho niende kwa hawa tcu maana hivi vibwanga katika web page yao inatutia mashaka watu kuingia university kwa wenzangu wenye Div II

Wako mikocheni, mbele kidogo ya Rose Garden bar ukitokea mataa ya sayansi kijitonyama. Utaona bango lao barabara inapokata corner. Sio mbali na Rose Garden
 
Wako mikocheni, mbele kidogo ya Rose Garden bar ukitokea mataa ya sayansi kijitonyama. Utaona bango lao barabara inapokata corner. Sio mbali na Rose Garden

ahsante mkuu likini nasikia wamevamiwa watakuwa wamefungua kweli
 
May be due to the theft which occured there! Si wameibiwa hao TCU.
 
Tafuta yale majambazi yaliyopora hivi siku za karibuni
yatakuelekeza vizuri!

inabidi tu kesho niende kwa hawa tcu maana hivi vibwanga katika web page yao inatutia mashaka watu kuingia university kwa wenzangu wenye div ii
 
Ofisi zao hazina kitu saiv, Mafisadi wametuma majambazi wamesomba docs zote na macomputer
 
mkuu kule hakuna msaada mkubwa kwa kiwango unachokifikiri hebu kabla hujaende jaribu kutumia different browser ie firefox,opera,etc ukifikia mwisho min ukishindwa kabisa thn uendae
 
Back
Top Bottom