link pleasebitcoin inachimbwa kwenye migodi virtual, inataka pc yenye nguvu especially gpu kubwa, kama pc yako ni ya kawaida sahau tu hutapata chochote.
hebu soma hapo,link please
asanteeeehebu soma hapo,
sio kitu cha kupewa link na kuclick, ni kitu cha kuinvest na kufuata pricedure nyingi.
How to Mine Bitcoins: 8 Steps (with Pictures) - wikiHow