Mr Penal Code
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 823
- 213
Habarini wadau,
Mimi ni kijana mwenye miaka 22 tatizo langu nasumbuliwa sana na kutekwa na janga hili la kuangalia picha za ngono na kupiga sana punyeto naweza kwenda hata mara 6 kwa siku na huu mchezo niliuanza toka mwaka 2007 paka sasa.Japo nimejaribu njia nyingi sana ili kulishinda hili janga lakini naweza nikapumzuka kwa miezi mpaka mwaka.
Lakini narudia kwa kasi sana kiukweli sipendi kufanya hiki kitendo nilikuwa najaribu kuacha hii tabia lakini uchunguzi wa wanasayansi ulikuwa unanipa moyo wa kuendelea na tabia hii.Wakiwa wanasema haina madhara yoyote lakini sasa imeanza kuniathiri sana kwa sababu hata wasichana siwatamani.
Na hata nikiwa na wapenzi nawaacha na kutokuona umuhimu wao na hata kama nikiwa kwenye sex ni bao moja tu sitamani tena na wala sisikii chochote na hata uume unakuwa goigoi sana, ukilinganisha nikiwa napiga punyeto kiukweli nimeona madhara ya punyeto nimekuja hapa jukwaani najua kuna watu kama mimi waliokumbwa na janga hili kisa wakafanikiwa kushinda naombeni ushauri asanteni sana.
Naomba kuwasilisha