Msaada: Kujichua kunanitesa

Mr Penal Code

JF-Expert Member
Jul 9, 2012
823
213
Habarini wadau,

Mimi ni kijana mwenye miaka 22 tatizo langu nasumbuliwa sana na kutekwa na janga hili la kuangalia picha za ngono na kupiga sana punyeto naweza kwenda hata mara 6 kwa siku na huu mchezo niliuanza toka mwaka 2007 paka sasa.Japo nimejaribu njia nyingi sana ili kulishinda hili janga lakini naweza nikapumzuka kwa miezi mpaka mwaka.

Lakini narudia kwa kasi sana kiukweli sipendi kufanya hiki kitendo nilikuwa najaribu kuacha hii tabia lakini uchunguzi wa wanasayansi ulikuwa unanipa moyo wa kuendelea na tabia hii.Wakiwa wanasema haina madhara yoyote lakini sasa imeanza kuniathiri sana kwa sababu hata wasichana siwatamani.

Na hata nikiwa na wapenzi nawaacha na kutokuona umuhimu wao na hata kama nikiwa kwenye sex ni bao moja tu sitamani tena na wala sisikii chochote na hata uume unakuwa goigoi sana, ukilinganisha nikiwa napiga punyeto kiukweli nimeona madhara ya punyeto nimekuja hapa jukwaani najua kuna watu kama mimi waliokumbwa na janga hili kisa wakafanikiwa kushinda naombeni ushauri asanteni sana.

Naomba kuwasilisha
 
endelea kutupa chini watoto wako mwenyewe...,mitihani inakuja usisahau masomo
 
Lkn punyeto tamu sana, ila punguza spidi maana utakua ukiona mwanamke mbooo inalala lkn ukiona sabun inasimama
 
dah hii kitu ngumu kuacha..polee sana jitahidi uache au upunguze Mara sita kwa siku ni balaa..utajichubua
 
Pole sana mungu akufanyie wepesi wa tatzo lako,kwaushauli wangu tayali umeshaasili kisaikolojia unatakiwa uwe mtu wa kufanya kazi ngumu au mazoez mazto ili kupoteza fkrahzo aksante pole
 
Tafuta pilipili then paka mikonon, kila ujisikiapo hamu ya kufanya hicho kitendo utakumbuka kuwa mikono yako ina pilipili. HII NDIO DAWA TOSHA YA KUACHA PUNYETO.
 
Fanya yafuatayo
1.usipende kukaa ukiwa mwenyewe,yaan jichanganye
2.fanya sana mazoez
3.penda kujisomea hata katika mitandao madhara mbalimbali ya kupiga punyeto.
4.muombe mungu akuepushe na hilo.

Mimi mwenyewe nilikuwa fundi miaka ya 2001lakin hadi sasa sitamani hata kidogo unless otherwise stated.
 
NI NGUMU SANA KUACHA MAPEMA ENDAPO MAWAZO YAKO BADO YATAKUWA NI YALE YALE YA KILA SIKU

KWA MSAAADA FANYA HAYA!
1. Epuka kuwa na muda mwingi ukiwa peke yako namaana kwamba ukiwa na muda mwingi peke yako unakuwa na msongo mkubwa wa kimawazo na inapelekea wewe binafsi kujikuta katika wazo hilo la punyeto na pia kumbuka (AN EMPTY MIND IS THE DEVILS WORKSHOP)
2. Tafuta kitu cha kufanya kwa ule muda ambao unaujua wewe kuwa ni wa punyeto and make yourself occupied namaana ya kwamba kama ulikuwa una ratiba yeyote ya kuufanya mwili ukachoka ili uweze kuupumzisha basi anza sasa maana usipochoka na ukakosa kitu cha kufanya hutoweza kupumzika bali utawaza kufanya ujinga. (JIINGIZE KWENYE MAZOEZI KAMA HUFANYAGI)
3. Kuwa na Hofu ya Mungu na umuombe akusaidie katika hilo na ujijenge kiimani zaidi nauhakika hilo swala litakuwa ni rahisi kwako kuliacha.
4. Jiwekee mikakati kimaisha na mmoja wapo uwe ndo huo wa kutokomeza au kupunguza punyeto katika maisha yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom