msaada kuingia katika kampuni za graduates kama mimi

msaada kuingia katika kampuni za graduates kama mimi

hlary junior

Member
Joined
Aug 28, 2013
Posts
23
Reaction score
1
habari ndugu zangu?mimi nimemaliza chuo mzumbe mwaka huu nilikua naomba kwa vijana wenzangu walioungana wakaanzisha,kampuni au NGO;S nipo tayari kuungana nao niwe mmja wao na ku-utilize ujuzi niliokua nao kuliko kukaa tu nyumbani naombeni sana msaada huooo niko tayari mda wowote nimesoma BBA in procurement and logistics management mawasiliano yangu ni 0755966673 ahsanteni
 
.......kuliko kukaa tu nyumbani naombeni ........
  • Ni sawla la msingi sana, ulilofikiria.
  • Kwa nyongeza omba/ tatafuta NGO , Taasisi au kampuni ufanye kazi kwa kujitolea.
  • Itasaidi kujenga CV yako, na pia ni rahisi kupata ajira ukiwa kazini (kwa kujitolea) .
 
Back
Top Bottom