Habari wakuu.
Nina website yangu imetengenezwa kwa Word press..sasa kuna kitu kinaitwa bots huwa nakiona kwa chini pamoja na visitor.
ningependa kufahamu bots ina maanisha nn?
Na Pia ni plugin gani nzuri kwa ajili ya ku count watu wanao visit website maana hii niliyo nayo sielewi unakuta post nimeweka saa 5 usiku ila inaonekana imetembelewa masaa mawili nyuma kabla ya mimi kuipost au kuna kitu nimekosea kuset?.