Msaada kuhusu window 11

Eka leakage at your own risk, hakuna mtu atakaekuhakikishia Ubora wKe inaweza kuwa fake, ina virus, etc

Pia win 11 inataka minimum specs kubwa si kila pc itakubali.

Na kutakua na beta/alpha users soon bora usubirie program kama hio ujiunge.
Is 8GB of DDR4 actually better than 16GB of DDR3?
 
Is 8GB of DDR4 actually better than 16GB of DDR3?
Inategemea na situation

Multitasking kawaida kurun programs nyingi 16gb itafanya kazi vizuri zaidi.

Ila kwenye kuongeza performance ya machine ram zenye speed kubwa ndio zinaongeza.

Kuanzia Skylake (Gen ya 6) Intel inataka ram zenye speed na hata Amd hizi Ryzen zinataka ram zenye speed.

Unakuta game 1, cpu moja, gpu moja ila sababu ya speed ya ram tu machine moja ina perform vizuri zaidi kuliko nyengine.

Na hizo ddr4 sio zote zinafanana zinakua na frequency na density tofauti.
 
PC Health haisemi kila kitu, njia rahisi ya kujua kama PC yako ina requirement zote tembelea ukurasa huu kisha download na run kwenye PC yako, ni MB 1 TU.

chrome_jPBoy8epld.png
 
Hii wame badilisha hivi karibuni now ni 2.0
Mimi pc yangu ina TPM 1.2 nimerun pc health sijaambiwa chochote kuhusu 2.0 na imepass...

Hapa nilipo narun win 11.

Kuna TPM za Aina 5, ikiwemo ambayo ipo built in kwenye cpu yako, pc yoyote iliotoka 2005 kupanda Ina TPM. Iwe ya firmware, dedicated etc.

Just ingia kwenye bios enable hio ftpm (firmware) inaweza kuwa imeandikwa ptt pia.

Bila kusahahu kama os uli install kwenye legacy Bios haiwezi ku upgrade kwenda Uefi, hivyo lazima u convert kwanza kwenda Uefi.
 
MSFT walikuwa na miaka 6 ya kujiandaa.

Leo wamevurunda, watu wapo kwenye confusion.

Wakati Monterey inaweza kuwa supported hata kwenye device za 2013.
Hawajavurunda chochote watu ni vimbele mbele tu, so far ipo developer chanell, wanatest developers na windows insiders

Then Baada ya hapo baadae mwakani iingie Beta,

Then Ikitokea hapo pengine 2022 ndio izinduliwe. Kuanzia leo mpaka 2022 wataamua ipi mbichi na ipi mbivu.

Vyombo vingi vya Habari vinatafuta tu Kiki wapate visitors basi, mambo mengi Wanayo andika hayamhusu user wa Mwisho ila wakiweka ile "fear factor" na negativity wanajua watapata visitors wa kutosha.

So far wenzangu kibao wanarun win 11 na vimeo vya zamani sana.
 
Concern yao kubwa ni security.

Nilijisajili kwenye hiyo developer preview.

Naona kuna sehemu natakiwa kuishusha.
 
Concern yao kubwa ni security.

Nilijisajili kwenye hiyo developer preview.

Naona kuna sehemu natakiwa kuishusha.
yah tpm ni security

kuna option 3
1.dev chanell
2.beta chanel
3.preview chanell

-dev chanell sasa hivi ndio wanapata win 11 sema sio stable bado
-beta chanell bado ila watapata win 11 ilio stable kiasi
-preview chanell wao wanaendelea na win 10

win11.PNG

ingia setting kisha updates kisha chini utaona option ya win insider ndani utapata menu ya kuchagua.
 
Hawajavurunda chochote watu ni vimbele mbele tu, so far ipo developer chanell, wanatest developers na windows insiders

Then Baada ya hapo baadae mwakani iingie Beta,

Then Ikitokea hapo pengine 2022 ndio izinduliwe. Kuanzia leo mpaka 2022 wataamua ipi mbichi na ipi mbivu.

Vyombo vingi vya Habari vinatafuta tu Kiki wapate visitors basi, mambo mengi Wanayo andika hayamhusu user wa Mwisho ila wakiweka ile "fear factor" na negativity wanajua watapata visitors wa kutosha.

So far wenzangu kibao wanarun win 11 na vimeo vya zamani sana.
2022? Wamesema inatoka mwaka huu. Possibly October
 
2022? Wamesema inatoka mwaka huu. Possibly October
hii tweet yao msft

so pengine mwaka huu ikawa tu kwenye vifaa vipya

so far kwenye insider features nyingi hakuna including apps za android, so safari bado ndefu sana mpaka ikamilike.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom