Msaada kuhusu window 11

Search TPM.msc kwenye search bar ya pc.
hiyo hapo eenh harafu

Screenshot (9).png
 
Very true.
Pia hiyo Beta iko based on build ya zamani.
ni heri kusubiri stable version December
Nimeona Wana update pc health app wanasema anytime next week ambao ni insider wataweza kuweka win 11, lakini ndio hio beta.
 
Walikuja ku clarify baadae minimum requirements ni 1.2 kwa hardware na software ndio hio 2.0, software/firmware ni code tu zitaandikwa.
Mkuu habari mi ilipotoka tu nli idiwnload nikajaribu ikanambia at PC haimeet minimum requirements, pc yangu ni dell inspiron 3521 RAM 4GB HDD 500, au ndo hio point 2 haifiki....!?
 
Kuna bypass method una modify iso, unatoa file husika la kucheck compability.

Subiria itoke kwanza next week
 
Mkuu habari mi ilipotoka tu nli idiwnload nikajaribu ikanambia at PC haimeet minimum requirements, pc yangu ni dell inspiron 3521 RAM 4GB HDD 500, au ndo hio point 2 haifiki....!?
Fuatilia fresh huu uzi kuna link ya iso nimeweka na iko fresh tu jaribu hiyo
 
Mkuu habari mi ilipotoka tu nli idiwnload nikajaribu ikanambia at PC haimeet minimum requirements, pc yangu ni dell inspiron 3521 RAM 4GB HDD 500, au ndo hio point 2 haifiki....!?
Olazima processor yako iwe ya 8 generation. Halaf butting iwe uefi
 
Back
Top Bottom