Msaada kuhusu window 11

Msaada kuhusu window 11

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Habari za muda huu wana JF, ngoja niende kwenye maada baada ya leo hii kuwa na event ya window 11 nilizania wataachia leo hii official ili tutumie ila niliposikia kuwa. Mpaka mwakani 2022 mwanzoni ndio zitaanza kupatikana. Lakini kabla ya leo kulikuwa kuna window 11 ambayo ilikuwa leakage naimani kuna baadhi ya watu wame install hiyo leakage window 11 nauliza tu. Je to install hiyo leakage au tutulie kwanza?? Na hivi vitu walivyo kuwa wanatangaza leo microsoft vipo sawa na hiyo leakage au tume pigwa??
Chief-Mkwawa
20210624_221711.jpg
 
Eka leakage at your own risk, hakuna mtu atakaekuhakikishia Ubora wKe inaweza kuwa fake, ina virus, etc

Pia win 11 inataka minimum specs kubwa si kila pc itakubali.

Na kutakua na beta/alpha users soon bora usubirie program kama hio ujiunge.
 
Hyo leaked build sio official na ni ya zamani kwahyo vitu vingi vilivyotangazwa leo havipo.

Hyo Windows 11 itakua official kwa kila mtu karibia na miwsho wa mwaka huu. Around October 2021 sio 2022.

Windows 11 sshv inataka PC yako iwe in UEFI mode, iwe na secure boot enabled na iwe na security chip ya TPM version ya 2.0.

Laptop karibia zote za kuanzia 2015 kwenda mbele zina support TPM 2.0 na baadhi ya 2014 models pia zina support hii kitu. Kwa laptop za Intel inaitww Intel Platform Trust Technology (PTT) na za AMD inaitwa fTPM.

Kwa watu wa desktop pia ni hvo hvo.

Kma kifaa chako ni cha zamani sana na hakina at least TPM 2.0 (laptop nyingi za 2013 kushuka chini zina TPM 1.2) Windows 11 haitakuwa officially supported. Kutakua na njia za ku overcome hii limitation ila hakuna official support.

Pia achana na hyo leaked build. Haina chochote cha maana zaidi ya UI improvements kwenye desktop. Week ijayo itatoka Insider Preview ya kwanza ndio itakayo kuwa official na itaanza kuwa na baadhi ya features zilizo tangazwa leo.
 
Windows sasa yaeleka kuwa gereza, restrictions za kipumbavu sana

soon wata minya apps zote ziwe installed from MS Store,
 
Wanabana kweli. Ila hzo requirement zilikuwepo tayari kwa OEM tangia 2012 walivyo release Windows 8. Walishasema toka mda kuwa PC zote zinazoship na Windows 8 kuendelea lazima ziwe na secure boot ON by default na ziwe na TPM 1.2. 2016 ndio waka update na kusema TPM 2.0 ni lazima kwa OEMs wote wanao ship na Windows 10.

Kma ushawahi nunua PC mpya ikaja na Windows 8, 8.1 or 10 utaona kuwa hizi option zipo ON by default. Shida PC refurb za huku bongo wanazima hzo options sababu huwa wana install ma Windows waliyodownload kutoka Getintopc huko ambazo zinakua tempered na kugoma kuinstall kma secure boot na TPM zipo ON.
 
Apps za android zitafanya KAZI kwenye windows 11
 
Habari za muda huu wana JF, ngoja niende kwenye maada baada ya leo hii kuwa na event ya window 11 nilizania wataachia leo hii official ili tutumie ila niliposikia kuwa. Mpaka mwakani 2022 mwanzoni ndio zitaanza kupatikana. Lakini kabla ya leo kulikuwa kuna window 11 ambayo ilikuwa leakage naimani kuna baadhi ya watu wame install hiyo leakage window 11 nauliza tu. Je to install hiyo leakage au tutulie kwanza?? Na hivi vitu walivyo kuwa wanatangaza leo microsoft vipo sawa na hiyo leakage au tume pigwa??
Chief-Mkwawa View attachment 1828907
Ngoma tamu hii hapa hahaha

Hyo leaked build sio official na ni ya zamani kwahyo vitu vingi vilivyotangazwa leo havipo.

Hyo Windows 11 itakua official kwa kila mtu karibia na miwsho wa mwaka huu. Around October 2021 sio 2022.

Windows 11 sshv inataka PC yako iwe in UEFI mode, iwe na secure boot enabled na iwe na security chip ya TPM version ya 2.0.

Laptop karibia zote za kuanzia 2015 kwenda mbele zina support TPM 2.0 na baadhi ya 2014 models pia zina support hii kitu. Kwa laptop za Intel inaitww Intel Platform Trust Technology (PTT) na za AMD inaitwa fTPM.

Kwa watu wa desktop pia ni hvo hvo.

Kma kifaa chako ni cha zamani sana na hakina at least TPM 2.0 (laptop nyingi za 2013 kushuka chini zina TPM 1.2) Windows 11 haitakuwa officially supported. Kutakua na njia za ku overcome hii limitation ila hakuna official support.

Pia achana na hyo leaked build. Haina chochote cha maana zaidi ya UI improvements kwenye desktop. Week ijayo itatoka Insider Preview ya kwanza ndio itakayo kuwa official na itaanza kuwa na baadhi ya features zilizo tangazwa leo.
Win 11 inahitaji TPM 1.2 tu
Ushahidi

Hii inayosambaa sasa hivi ni dev version sio final version.
 
Well explained
 
Kiukweli huwa siamini window yoyote ambayo haitoki kwa official provider.Nyingi zinakuwa modified na zimewekewa vidukuzi na elements zingine ambazo hazina maana.
 
Win 11 inahitaji TPM 1.2 tu
Ushahidi

Hii inayosambaa sasa hivi ni dev version sio final version.
Basi wanajichanganya wao wenyew. Maana kwenye page ya Windows 11 announcement sehem ya system requirements wanasema TPM 2.0 na tool waliyotoa ya kucheck compatibility inagoma kma una TPM 1.2

Link:Windows 11 Specifications - Microsoft
Screenshot_20210625-120946.jpg
 
Eka leakage at your own risk, hakuna mtu atakaekuhakikishia Ubora wKe inaweza kuwa fake, ina virus, etc

Pia win 11 inataka minimum specs kubwa si kila pc itakubali.

Na kutakua na beta/alpha users soon bora usubirie program kama hio ujiunge.
Asante chief kwa maelezo
 
Hyo leaked build sio official na ni ya zamani kwahyo vitu vingi vilivyotangazwa leo havipo.

Hyo Windows 11 itakua official kwa kila mtu karibia na miwsho wa mwaka huu. Around October 2021 sio 2022.

Windows 11 sshv inataka PC yako iwe in UEFI mode, iwe na secure boot enabled na iwe na security chip ya TPM version ya 2.0.

Laptop karibia zote za kuanzia 2015 kwenda mbele zina support TPM 2.0 na baadhi ya 2014 models pia zina support hii kitu. Kwa laptop za Intel inaitww Intel Platform Trust Technology (PTT) na za AMD inaitwa fTPM.

Kwa watu wa desktop pia ni hvo hvo.

Kma kifaa chako ni cha zamani sana na hakina at least TPM 2.0 (laptop nyingi za 2013 kushuka chini zina TPM 1.2) Windows 11 haitakuwa officially supported. Kutakua na njia za ku overcome hii limitation ila hakuna official support.

Pia achana na hyo leaked build. Haina chochote cha maana zaidi ya UI improvements kwenye desktop. Week ijayo itatoka Insider Preview ya kwanza ndio itakayo kuwa official na itaanza kuwa na baadhi ya features zilizo tangazwa leo.
Umenikomba kila kitu shule iliyo shiba nimekubali mkuu
 
Back
Top Bottom