Habari wakuu,.
Naomba msaada wenu, kama ninaweza kuwa offline katika groups za WhatsApp pasipo kujitoa moja kwa moja.
Kama nitakapotaka kurudi niweze kufanya hivyo bila msaada wa Administrator.
Natanguliza Shukrani.
Mkuu vipi kuhusu Notifications? Bado zitaendelea kuingia?
Mkuu vipi kuhusu Notifications? Bado zitaendelea kuingia?
Jamani mimi whatsapp haijakubali ktk p.c nmedownload bluestack na youwave lakini imeshndkana, natumia dell window 7 64bt
Sasa mkuu..wakati una install bluestack hakuna error yeyote iliyojitokeza?
Ikiwa uliapata error flani..huwa mara nyingi inaleta error inayohusu uwezo wa graphics ya Pc...chakufanya kama graphics ndio shida nenda device manager alf locate Display adapter..then upadte driver ya display adapter utakayo ikuta..ikiwa updated nenda ka install upya bluestack.
Wakati tunasubiri michango ya wadau fanya hivi.
>> Fungua group husika, touch MENU , touch MUTE kisha chagua muda unaotaka kuweka.
Mbona sioni hizo option kwenye iphone... au ni kwa Android phones pekee.?