Msaada kuhusu uraia

baghozed

JF-Expert Member
May 26, 2011
532
96
habari zenu,

mimi ni mgeni katika jukwaa hili,naomba ufafanuzi kidogo kwenye hili jambo.

1.mtu anaepaswa kupewa cheti cha kuzaliwa hata mtoto ataezaliwa lazima awe ni mtanzania?
2.je kama amezaliwa kabla ya uhuru,na akapewa cheti je huyu ni raia moja kwa moja?
3.na kama alizaliwa wakati baba yake hakuwa raia,na baadae baba yake akaomba uraia,je mtoto ni raia wa tz?
3.na kama una cheti cha kuzaliwa na baba yako ameandika yeye ni taifa jingine,je wewe ni raia wa tz?

Naomba mwenye uelewa wa hili jambo anifafanulie maana linanichanganya sana.
 
Back
Top Bottom