Msaada kuhusu UN volunteering

Msaada kuhusu UN volunteering

Acehood

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,668
Reaction score
2,852
Naomba kujua kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ya kujitolea nje ya nchi (mfano Sudan, Congo, Sierra Leone au hata nje ya bara) kama UNVolunteer hata kama ni mara ya kwanza kujitolea.

Msaada wakuu
 
Kujtolea kufanya nn!?wanajitoleaga nchi masikin kusaidia mambo kadhaa.. Nliwah kwenda ubalozin pale osterbei nkaelekezwa vizuuuur! Jarib kwend ubaloz kaka
 
Kujtolea kufanya nn!?wanajitoleaga nchi masikin kusaidia mambo kadhaa.. Nliwah kwenda ubalozin pale osterbei nkaelekezwa vizuuuur! Jarib kwend ubaloz kaka
Asante sana mkuu. Kujitolea kusaidia maeneo ambayo yameathirika na mabadiliko ya hali ya hewa au vita kama ambavyo, ama kwenye kambi za wakimbizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom