MUCOS
Senior Member
- Jun 24, 2024
- 103
- 385
Wakuu habari zenu
Nawiwa kufanya sanaa ya kuigiza hapa nyumbani ( Bongo Movie). Hivyo naomba msaada kidogo kuhusu haya:
a. Nataka kujua kampuni nzuri ninayoweza kuitumia kushoot movie yangu kwa bajeti ndogo isiyozidi M.4 (Kwa anayejua tafadhali anijuze)
b. Natamani kutumia stori au hadithi iliyotungwa au itayotungwa na mwanaJ.F ambaye nimependa kazi yake. So naomba namna ya kumfikia mtunzi nitayemchagua mimi.
c. Msaada wa kumpata Director mzuri wa movie hapa mjini. Nitamlipa kulingana na makubaliano
d. Namna ya kupata waigizaji. Mimi nitakuwa mhusika mkuu but nahitaji wahusika wengine. So kwa anayejua vikundi vya waigizaji underground anijuze tafadhali.
e. Mwisho, mwenye kujua njia za kuuza kazi yangu. Nipate japo muongozo kidogo.
Asanteni.