Msaada kuhusu udahili UDSM kwa Postgraduate

Msaada kuhusu udahili UDSM kwa Postgraduate

Joined
Nov 30, 2022
Posts
27
Reaction score
18
Nauliza jamani ukitaka kuomba intake ya october kwa UDSM (Master Degree) inatakiwa uombe mwezi wa ngapi?

Ninaona kuna dirisha limefunguliwa saizi na mwisho wa kuomba ni mwishoni mwa mwezi huu.

Je, hakutakua na dirisha lingine kwa intake ya mwaka huu?
 
Back
Top Bottom