Msaada kuhusu specifications za simu

Msaada kuhusu specifications za simu

Fohadi

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2020
Posts
774
Reaction score
2,432
Habarini wakuu.

Nimeibiwa simu yangu hivyo uamuzi niliochukua ni kutafuta nyingine kwani kuifatilia iliyopotea naona nitapoteza muda mwingi na hela nyingi...
Nimeamua kutafuta simu nyingine ambayo bajeti yake haizidi 350k. Katika pitapita zangu mtandaoni nimevutiwa na VIVO Y20 ambayo specifications zake ni zifuatazo:-
Ram 4GB....Storage 64GB...Battery capacity 5000 mAh....OS Android 10...Rear camera ni 13MP + 2MP +2MP

Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu hivyo ningependa kuomba mwongozo kutoka kwa wenye uelewa na maswala ya simu kabla sijatoa pesa.

Na ningependa pia kusikia ushuhuda kutoka kwa waliowahi/wanaotumia VIVO kwa muda mrefu

Natanguliza shukrani zangu.
 
kuna hizi sumsung A SERIES .... mfano A21s
 
Ni simu nzuri ndo nayotumia
 
Bei gani? na kama hutojali naomba uzifafanue zaidi ubora wake..kwanini zenyewe?
Display​
6.5" (16.51 cm)

720x1600 px, 270 PPI​
6.51" (16.54 cm)

720x1600 px, 270 PPI​
Camera​
48 MP + 8 MP + 2 MP + 2 MP (Primary)

13 MP(Front)​
13 MP + 2 MP + 2 MP (Primary)

8 MP(Front)​
Battery​
5000 mAh

54 h talktime (4G)​
5000 mAh

Performance​
Quad + Quad Core

2 GHz + 2 GHz, 4 GB RAM​
Quad + Quad Core

1.8 GHz + 1.6 GHz, 4 GB RAM​
Storage​
64 GB

512 GB (Expandable)​
64 GB

256 GB (Expandable)​
sumsung a21s vs vivo y20
 
umetisha mkuu
Display​
6.5" (16.51 cm)

720x1600 px, 270 PPI​
6.51" (16.54 cm)

720x1600 px, 270 PPI​
Camera​
48 MP + 8 MP + 2 MP + 2 MP (Primary)

13 MP(Front)​
13 MP + 2 MP + 2 MP (Primary)

8 MP(Front)​
Battery​
5000 mAh

54 h talktime (4G)​
5000 mAh
Performance​
Quad + Quad Core

2 GHz + 2 GHz, 4 GB RAM​
Quad + Quad Core

1.8 GHz + 1.6 GHz, 4 GB RAM​
Storage​
64 GB

512 GB (Expandable)​
64 GB

256 GB (Expandable)​
sumsung a21s vs vivo y20
 
Back
Top Bottom