Lemidmckon
Member
- May 14, 2019
- 19
- 21
Habari ndugu zangu? Nisaidieni kujua ni simu gani nzuri kati ya Samsung S series na Note series na vipi kati ya S10+ na Note 10+ ipi ni nzui?
Asante mkuu 🙏Kamata note 10+ mkuu ni simu nzuri japo ya muda kidogo.
Tawire Mganga.....Kamata note 10+ mkuu ni simu nzuri japo ya muda kidogo.