Msaada kuhusu Samsung s7 edge

Msaada kuhusu Samsung s7 edge

kwanini hamrudishi simu zenu samsung? yani unatoa milioni moja au mbili unanunua simu halafu inapata tatizo unaipeleka kwa mtu ambae mtaji wake ni mdogo kushinda hata thamani ya simu, wakati aliotengeneza hio simu yupo na ameajiri watu wamekaa wanakusubiria wewe upeleke simu yako.

simu za samsung flagship kama hio zina warranty miaka 2. hio mpaka 2019 ndio samsung watakuwa hawaitengenezi bure. ila ukipeleka kwa fundi ambae hajui hata knox ni nini sasa hivi atakuwa ameshaitrip na kuharibu warranty yako.
 
Imenunuliwa manzese humu mkuu
 
Mkuu Chief Mkwawa
Hili Jambo La Warranty Ni Muhimu Binafsi Nilinunua Samsung Ya Kawaida Tu Ilikuwa Na Shida Yaani Lcd Ikawa Na Layer Kama Maji

Niliipeleka Samora Pale Wana Kitengo Chao Cha Kwanza
Waliitazama Kwenye Computer Zao Kama Ilisajiliwa
Baada Ya Hapo Nikabadilishiwa Lcd Bure Bila Kulipa Chochote
 
Habari za humu ndugu zangu wataalamu wa teknelojia,nina simu yangu aina ya SAMSUNG s7 EDGE inanisumbua sana.. Mwanzoni ilianza kuzima na kuwaka,nikaipeleka kwa wataalamu wa simu ili waweze kuiflash,baada ya kuichunguza wakaniambia motherboard imepata damage hivyo inatakiwa ibadilishwe na gharama yake ni bora kununua simu nyingine.. Leo nikasema hebu ni reset,ilipozima haikuwaka tena.. Nikavumilia dakika kadhaa nikaiwasha tena ikawaka lakini screen haionyeshi.. na hata kuzima zima tena hakuna maana kitaa cha kijani kiko active muda wote..

Naombeni ushauri,nifanyeje ili display ifanye kazi?
sasa cha kukushauri, hiyo simu iache hivyo hivyo usiifanyie kitu chochote tena,mpk hapo hicho kitaa cha kijanikikizima, kaa km siku tatu ama nne, then chukua charger original ya hiyo simu iweke kwenye charger,kama dk 2 hivi itoe, then iweke tena...utaona simu inareeboot yenyewe!!rudisha mrejesho!!!
 
Back
Top Bottom