Msaada kuhusu Samsung s7 edge

sodeely

Senior Member
Oct 3, 2011
187
117
Habari za humu ndugu zangu wataalamu wa teknelojia,nina simu yangu aina ya SAMSUNG s7 EDGE inanisumbua sana.. Mwanzoni ilianza kuzima na kuwaka,nikaipeleka kwa wataalamu wa simu ili waweze kuiflash,baada ya kuichunguza wakaniambia motherboard imepata damage hivyo inatakiwa ibadilishwe na gharama yake ni bora kununua simu nyingine.. Leo nikasema hebu ni reset,ilipozima haikuwaka tena.. Nikavumilia dakika kadhaa nikaiwasha tena ikawaka lakini screen haionyeshi.. na hata kuzima zima tena hakuna maana kitaa cha kijani kiko active muda wote..

Naombeni ushauri,nifanyeje ili display ifanye kazi?
 
Hiyo cm uliikosea toka mwanzo ungei update software kwanza alafu uangalie maendeleo yake kabla ya kuipeleka kwa fundi
 
Back
Top Bottom