Msaada kuhusu probation

Msaada kuhusu probation

Mwangaruka

Member
Joined
Nov 30, 2014
Posts
24
Reaction score
2
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.

Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz.

Natumai kuna ma hr humu watatoa msaada juu ya hili suala.
 
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.

Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz. Natumai kuna ma hr humu watatoa msaada juu ya hili suala.

Tena wasomi? Kama mtu ni msomi na akaharibu kazi hatakiwi kufukuzwa? Ndio maana ya probesheni...
 
Hiki n kipind ambacho mwajiri anampima mwajiriwa kama anaweza kufit kwenye nafas husika na hii hufanya kipind cha miez kum na mbil au zaid kutgemeana na maelewano na isipungue miez sita labda kama mtu huyo anauzoefu na hyo ofic

katika kipind hiki ikionekana hufai unapewa taarfa ya kujierkebisha ikionekana huelekei unaondolewa sasa sijui kama hao walikuwa wanapewa taarifa ya utendaj wao kabla ya kutimuliwa au laa
 
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.

Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz. Natumai kuna ma hr humu watatoa msaada juu ya hili suala.

Yah,ipo sheria inayomlinda.Kwanza kipindi cha probation hakitakiwi kupungua miezi 6 na kisizidi mwaka 1.Ikitokea mwajiliwa anashndwa kumudu majukumu yake tofauti na makubaliano,mwajiri anatakiwa kumweleza mapungufu na kumpa muda wa kujirekebisha.Akishindwa kujirekebisha anaweza kuachishwa kaz.HAWEZI KUFUKUYWA KIHOLELA.
 
Kampuni gani hiyo??????
logo2.png
 
hiki n kipind ambacho mwajiri anampima mwajiriwa kama anaweza kufit kwenye nafas husika na hii hufanya kipind cha miez kum na mbil au zaid kutgemeana na maelewano na isipungue miez sita labda kama mtu huyo anauzoefu na hyo ofic katika kipind hiki ikionekana hufai unapewa taarfa ya kujierkebisha ikionekana huelekei unaondolewa sasa sijui kama hao walikuwa wanapewa taarifa ya utendaj wao kabla ya kutimuliwa au laa

Huku ni tofauti kidogo, plobation ni miez 3, kuhusu onyo cjashuhudua ila ni boss tu akiona performance haimlidhishi anampigia cm hr ana terminate.
 
Yah,ipo sheria inayomlinda.Kwanza kipindi cha probation hakitakiwi kupungua miezi 6 na kisizidi mwaka 1.Ikitokea mwajiliwa anashndwa kumudu majukumu yake tofauti na makubaliano,mwajiri anatakiwa kumweleza mapungufu na kumpa muda wa kujirekebisha.Akishindwa kujirekebisha anaweza kuachishwa kaz.HAWEZI KUFUKUYWA KIHOLELA.

Mdau waweza kunisaidia kifungu husika katika hili kwani kuna jamaa ayngau alitemeshwa ndani ya miezi 3 hivi kwa majungu tu ya kimwana fulani mpenda makuu.
 
Habari wana jf, naomba kujua kama kuna sheria yoyote inayo mlinda mfanyakazi aliyeajiriwa katika kipindi cha probation.

Hii ni kutokana na kushuhudia lundo la watz tena wasomi walioajiriwa ktk probation period wakitimuliwa bila huruma kila cku katika kampuni moja ya kigeni iliyoko dar es salaam tz. Natumai kuna ma hr humu watatoa msaada juu ya hili suala.

Unajua tatizo la hao uliwaita wasomi-kwa uzoefu wangu wengi wao wanadhani kazi ni kuvaa nguo na kupiga stori sehemu za kazi.Wengi wanajisahau kuwa wako kazini na si shuleni na kwamba kinajusubiriwa na mwajiri na productivity na siyo blah blah.

Mfano. Msomi anaanza kazi siku ya kwanza anapewa majukumu ya kazi yake pamoja na maelezo mengineyo kibao lakini badala ya kusikiliza na kusoma maelekezo hayo wengi wao wanayachukua na kuweka makabatini na yale yamdoni yanaingia upande mmoja wa sikio na kutokea wa pili.

Na cha kumaliza kabisa wengi wao baada ya kutoka job badala ya kujishughulisha kujisomea manote kidogo kuhusiana na majukumu yao mapya wao wanaishia Baa(mitikasi ya mjini)

Alafu baada ya Mwezi mmoja-hadi mbili Mwajiri anaamua kupiga interview kuona kama Mwajiriwa anaelewa anachokifanya sehemu ya Kazi-unakuta hata robo hakuna.

Jamani wasomi dunia hii ya ushindani wa kila kitu si ya kuchezea na hasa Private Organisation ,ufanisi ndiyo utakao kuweka juu-si mtu mmoja na wala si Kampuni.

Badilikeni acheni kulalamika.

NB.Likusaidia Jukwaa tirishiwa /ongezea nyama kidogo stori yako.

Sababu zilizotolewa kuhusiana na kusitishwa ajira kwenye muda huo wa Probation.
 
Kipindi cha probation ni miezi 3 lakini kinaweza kurudiwa mara 4 ikitokea mwajiri hajaridhika na utendaji kazi wa mwajiriwa, yaani atamuongezea muda mara ya kwanza, ikitokea hajaridhika tena atamuongezea mara ya pili, hivyo hivyo mpaka mara 4 yaani mwezi wa 12 toka siku ya kuanza kazi.

Katika kipindi hicho chote ikitokea mwajiriwa hajafikia standard ya performance waliyokubaliana, Mwajiri anaweza kumuachisha kazi mwajiriwa kwa kufata utaratibu wa kihalali(fair procedure), mwajiri anaweza kufanya hivyo katika kipindi cha miezi 3 ya kwanza, ya kati au ya mwisho.

Tatizo hapa ambalo mtoa mada analiongelea lipo kwenye sheria ambapo sheria ya ajira na mahusiano kazini inamzuia mwajiri kufungua mgogoro mbele ya CMA kama mwajiriwa hajafanya kazi zaidi ya miezi sita.
Waajiri wengi ndio wanatumia upenyo huo.
 
Mp Kalix2

Umenishtua mkuu mi mwenyewe nlikuwa nimeyafungua madesa ya ofic. Ubarikiwe sana mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Mp Kalix2

Umenishtua mkuu mi mwenyewe nlikuwa nimeyafungua madesa ya ofic. Ubarikiwe sana mkuu.

Ubarikiwe wewe uliyetambua pakuanzia.

Narudia kwa wasomi kwamba hakuna shule na mtihani mkubwa kama kuanza kazi!
Ndiyo maana Serikali ni legelege kwasababu suala la performnce Serikalini ilikwenda na Sokoine na Julius K.Nyerere -siku nyingi sana na mungu awalaze mahala pema peponi.
 
mkasome employmnt and labour relation act code of good practice rule 10
 
Back
Top Bottom