Msaada kuhusu ''Presumption of dealth''

Abx

Senior Member
Oct 16, 2012
138
77
Ukisoma sheria ya ndoa inaeleza kuwa mtu akitoweka kwa muda fulan bila kuonekana wala kutopatikana kwa taarifa zake mahakama inaweza kutoa maamuzi ya kusadikika (prusumption of dealth) kuwa huyo mtu kafa.
Sasa swali ni pale mahakama imetoa maamuzi hayo na mali za huyo mtu zimegawiwa kwa warithi wake na baadae akatokea huyo mtu. Nafasi ya sheria ikoje kuhusu kurudisha mali zake na taratibu zikoje kisheria?
 
Kisheria mtu akishakuwa presumed dead maana yake huyo mtu hana haki zozote tena.Akitokea baada ya hiyo presumption of death ni kazi kubwa sana kwake kuithibitishia mahakama kwamba ni yeye kwa kutoa vyeti kuthibitisha uhalali wake kuwepo hai.
 
  • Thanks
Reactions: Abx
Ukisoma sheria ya ndoa inaeleza kuwa mtu akitoweka kwa muda fulan bila kuonekana wala kutopatikana kwa taarifa zake mahakama inaweza kutoa maamuzi ya kusadikika (prusumption of dealth) kuwa huyo mtu kafa.
Sasa swali ni pale mahakama imetoa maamuzi hayo na mali za huyo mtu zimegawiwa kwa warithi wake na baadae akatokea huyo mtu. Nafasi ya sheria ikoje kuhusu kurudisha mali zake na taratibu zikoje kisheria?
Presumption of death is rebuttable,yani inaweza kupinduliwa ukija ushahidi mwingine,kwaiyo kama mtu amerudi baada ya kuwa presumed dead basi anaweza kudai mali zake tokakwa waliogawiwa kwa sababu haki zake na madai yake hurudi mara moja!!
 
Case law, mkuu itapendeza.
 
  • Thanks
Reactions: Abx
Back
Top Bottom