Msaada kuhusu policy mpya ya WhatsApp, kuna tatizo lolote?

kibaravumba

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
6,635
7,005
Nimeona tajiri namba moja duniani akishauri watu wahamie signal.

Kuna shida gani na new policy?Mi nilidhani ni kwa watu maskini tu wasioweza kununua simu zinazoendana na update zao.

Pia kuna mtu anajiita kigogo naye anapigia debe signal.
 
Policy mpya inaipa Facebook (Kampuni inayomiliki WhatsApp) ruhusa kuchukua baadhi ya data zako za WhatsApp na kuzitumia katika makampuni zake mengine mfano Facebook.com n apia kuzitumia katika bishara yake ya marketing kukulenga na matangazo mtandaoni.
Message za WhatsApp zipo end to end encrypted mpaka sasa kwa hiyo Facebook hawawezi kuzisoma so data wanazoweza kutumia ni "meta-data", namba za contacts wako, unaongea na nani etc.
 
Kwa hivyo wana mpango wa kuondoa End to End encryption
 
Wameruhusu wa Israel kuwa na Access ya kumuonesha namba moja wetu mazungumzo yoyote ya group lolote bila ya kuwa 'added'

Anaingia group lolote Dunian kama lina hata member mmoja mwenye code ya +255
 
Katika suala la usalama na usiri ni jambo moja muhimu kuzingatia endapo wewe ni mtu wa usiri na usalama. Basi haina budi kuangalia mbadala wa kukuhakikishia hayo, mbadala kwa sasa ni wazi atakuwa Signal, Telegram na Band. Facebook katika hili inaonesha wazi uhalisia wake toka lifanyike tukio la ugawaji data za watumiaji, je unazidi kuamini?

Binafsi nimejiondoa WhatsApp na sasa ni mtumiaji wa Signal, nimeanza kushawishi na watu wangu wa karibu kunifuata huku kwa wepesi.
 
Policy mpya inaipa Facebook (Kampuni inayomiliki WhatsApp) ruhusa kuchukua baadhi ya data zako za WhatsApp na kuzitumia katika makampuni zake mengine mfano Facebook.com n apia kuzitumia katika bishara yake ya marketing kukulenga na matangazo mtandaoni.
Message za WhatsApp zipo end to end encrypted mpaka sasa kwa hiyo Facebook hawawezi kuzisoma so data wanazoweza kutumia ni "meta-data", namba za contacts wako, unaongea na nani etc.
Hapa assumption ni kwamba hawajiachezea e2ee ambayo kwa FB ilipofikia si wa kuwaamini!
 
Hivi message za Fb ni End to end encrypted?
kumekuwa na rumors hata apple kuna watu wanachat kuhusu kitu fulani halafu baadaye wanakiona kwenye ads za facebook.
Basic rule is usiwaamini. Mengine watasema kaa sababu ni kweli na mengine ni kwa sababu ya PR tu. Ila ukweli ni kuwa FB ni wazembe wa makusudi wa taarifa za watu!

Mara ya mwisho naangalia FB messenger haikuwa na e2ee. Kwa sasa sijui kwa sababu nilishafunga akaunti yangu kitambo sana!
 
Wengine ni majobless lkn wanaogopa eti data zao kuibiwa/kudukuliwa wkt hakuna kwny kitu wanatumia kwny watsap zaidi ya kutuma CV kwa ndg na jamaa kuomba wapigwe tafu kwny suala la ajira.
 
ErgKd2kUUAc7JA7.jpg

WhatsApp wameamka na maelezo kuhusu hili sakata.
 
Back
Top Bottom