Msaada kuhusu Playstation 3 (ps3)

Msaada kuhusu Playstation 3 (ps3)

Joel360

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2013
Posts
986
Reaction score
657
Habari zenu wakubwa, nimekuwa nikizitafuta sana ps3 lakini nimezikosa, naomba kwa yeyote anayejua zinakopatikana anifahamishe itakuwa vizuri kama ataniambia na gharama yake pia. Ahsanteni sana
 
Nenda page ya DeAlz iN DaR facebook
 
Bei ndio hii sasa peleka kwenye pesa ya madafu kwa rate ya siku husika.
ImageUploadedByJamiiForums1395697780.589614.jpg
attachment.php
 
Habari zenu wakubwa, nimekuwa nikizitafuta sana ps3 lakini nimezikosa, naomba kwa yeyote anayejua zinakopatikana anifahamishe itakuwa vizuri kama ataniambia na gharama yake pia. Ahsanteni sana

MKUU unapatikana wapi kama upo dar nikuletee
 
Back
Top Bottom