Msaada kuhusu picha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada kuhusu picha...

Discussion in 'Jamii Photos' started by tovuti, Jul 13, 2012.

 1. tovuti

  tovuti Senior Member

  #1
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf naomba mnisaidie....

  siku za nyuma nilikuwa natuma picha natumia "insert picture", lakini sasa hivi hiyo option haifanyi kazi na inataka uweke url.....

  naomba mnisaidie vipi naweza kutuma picha kwenye jukwaa la picha, itokee kubwa jamani.....
   
 2. tovuti

  tovuti Senior Member

  #2
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msaada wenu jamani
   
 3. tovuti

  tovuti Senior Member

  #3
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  msaada jamani..........
   
 4. H

  Hadoop Member

  #4
  Jul 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unatuma picha kwenye nini? kwenda wapi? fafanua ndugu.
   
 5. tovuti

  tovuti Senior Member

  #5
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nataka kutuma picha kwenye jukwaa la picha hapa Jf mkuu, msaada wako pls
   
 6. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa hata mimi nimenotice, sijui jf kuna mabadiliko yamefanyika...
  hata mimi nahaitaji msaada kwa hili ....nimeshindwa kutuma picha
   
 7. tovuti

  tovuti Senior Member

  #7
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona mkuu
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hii kitu ni kweli nashanga mods hawataki kujibu.
   
 9. tovuti

  tovuti Senior Member

  #9
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona mkuu......sijui wanabana wanataka kuzuia watu wasitume picha
   
 10. GAMBLER

  GAMBLER JF-Expert Member

  #10
  Jul 14, 2012
  Joined: Nov 22, 2009
  Messages: 303
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  true...
   
 11. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #11
  Jul 14, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  mkuu kuna wakati tatizo kama hilo ilinikumba,but nilichogundua kwangu inagoma ninapotumia mozilla au opera,but nikitumia google chrome inakubali.
  kama unaupload picha kutoka kwenye computer wakati wa kuupload,hapo inapokuandikia ingiza URL angalia kwa chini yake kuna maandishi madogo yameandikwa upload picture,ukiangalia haraka haraka hutagundua,ukiona then gonga hiyo upload itakupeleka kwenye computer yako.
  Kama unachukua picha kutoka website nyingine fanya right click juu ya hiyo picha utaona copy,then unacopy halafu unakuja kupaste,utakuwa umemaliza kila kitu
   
 12. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #12
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mbona mie nimeweza kuweka hii:
  [​IMG]
   
 13. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #13
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Pia na hii hapa...................

  [​IMG]
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Asee kwanini umrweka picha yangu humu??
   
 15. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #15
  Jul 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Duh, samahani, nili-overlook
   
 16. GIUSEPE

  GIUSEPE JF-Expert Member

  #16
  Jul 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Huyo jamaa mbona sura imezibwa kiaina? Mali yake kweli hiyo?
   
 17. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #17
  Aug 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 809
  Trophy Points: 280
  SAMAHANI Mtambuzi naomba niwekee Clip au wmv picha zinazo cheza zinazomove sio still picture hilo ni langu maana kupost mm zinagoma movie zote au picha za GIF zikifika huko zinakuwa PNG
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Kanyapini

  Kanyapini JF-Expert Member

  #18
  Aug 23, 2012
  Joined: Jul 25, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :israel::israel:Mods plz, tatizo hili lipo. Urgent msaada plz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:israel::israel:
   
 19. kitalolo

  kitalolo JF-Expert Member

  #19
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 4, 2006
  Messages: 1,846
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  subiri bana mods wako bise kaa mungu
   
Loading...