Msaada kuhusu nafasi za jwtz

Msaada kuhusu nafasi za jwtz

bejamini

Senior Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
121
Reaction score
13
Habari za maisha wana jamvi. naombeni msaada kwa yeyote mwenye undani juu ya hii ishu ya jwtz, je ni kweli nafasi zipo out au laa. nauliza hilo kwa kuwa ni mara kadhaa sasa nimepokea sms toka kwa jamaa na marafiki kuwa post za jwtz zipo out ila nikijaribu kuwataka undani zaidi wa SOUCE hawana. hivyo basi naombeni kwa yeyote anayefahamu juu ya ukweli wa post hizo anifahamishe. asanteni
 
vuta subira mkuu mey b wanaweza tangaza hzo post ila hakuna matumain hayo coz sku hz kama upo uraian usitegemee kuchukuliwa na jwtz cha kufanya fanya harakat za kuulzia post za jkt tht ts only way out to jwtz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom