witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,839
- 47,772
Haahaaa...walikufanyaje mkuuKwa kweli kwa experience niliyoipata kutoka miji ya wasukuma ni kheri unipeleke nikaishi na ng'ombe siyo wasukuma. Haea watu sina neno rahisi kuwaelezea.
Haahaaa...walikufanyaje mkuuKwa kweli kwa experience niliyoipata kutoka miji ya wasukuma ni kheri unipeleke nikaishi na ng'ombe siyo wasukuma. Haea watu sina neno rahisi kuwaelezea.
Napitaga mara nyingi sanaUmeshawahi kuish wit au unapitaga tu?
Mkuu acha tu. Nimeishi nao kwa miaka mitano nawaelewa hawa.Haahaaa...walikufanyaje mkuu
Kama umewahi kufika somalia ndio ilivyo kahama mkuu!utafulia machozi utakunywa mk*joHabarini wana jf
Kama kichwa cha habari kinavoeleza hapo juu mm ni kijana ambaye nimebahatika kupangiwa kazi eneo la kahama mjini ambapo natakiwa kuanza mda si mrefu
Naomba kwa wana jf wenyeji wa huko au ambao wameishi kahama mjini mnipe vidokezo vichache kuhusu hali ya maisha hapo,mazingira ya biashara,social interaction ya wenyeji,taboos kama zipo na lolote lile ambalo litaweza nisaidia niishi kwa ufanisi maeneo haya ya kahama.
Natanguliza shukrani na karibuni kwa michango yenu.
Mkuu umeisifia sana. Naomba kuuliz huo mji una lami? Maji ya kutosha, vipi kilimo na mazao ya chakula upatikananji na bei zake kwa sisi tusiojua kulima?I love Kahama my home. Hakuna wilaya hata moja Tanzania inayoweza kufanana na Kahama Kwa kila kitu.
Mwisho kabisa tunamkaribisha kahama.Lami zipo za kutosha.. Maji yapo ya uhakika toka ziwa Victoria.. Vyakula vya aina zote vinapatikana kwa bei nafuu kabisa.. Kuna hoteli kubwa na za kisasa kabisa.. Mzunguko wa pesa ni mkubwa sana.. Benki zote unazozifahamu zina matawi Kahama.. Niseme nini kingine..??
6Kama umewahi kufika somalia ndio ilivyo kahama mkuu!utafulia machozi utakunywa mk*jo