FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,113
- 2,814
Habarini wana jf
Kama kichwa cha habari kinavoeleza hapo juu mm ni kijana ambaye nimebahatika kupangiwa kazi eneo la kahama mjini ambapo natakiwa kuanza mda si mrefu
Naomba kwa wana jf wenyeji wa huko au ambao wameishi kahama mjini mnipe vidokezo vichache kuhusu hali ya maisha hapo,mazingira ya biashara,social interaction ya wenyeji,taboos kama zipo na lolote lile ambalo litaweza nisaidia niishi kwa ufanisi maeneo haya ya kahama.
Natanguliza shukrani na karibuni kwa michango yenu.