mwanamalundi90
Senior Member
- Jun 12, 2016
- 177
- 137
Nipo Fantom,njoo Pm tujuane wakwetuKaribu cc wenyeji wazawa tupo mkuu.. Nimezaliwa Kahama na kikazi nikabahatika kupata hapa hapa Kahama.. Kwa hiyo angle zote nazijua.. Huku bei za Vyakula Kama mchele ni cheap sana na pia biashara Huu mji upo vizuri sana.. Kingine watu wa Huku hasa hasa kabila la wasukuma ni wakarimu.. Ukikaa nao Karibu sana utatoboa muda c Mrefu.