msaada kuhusu magari aina ya toyota ist.

Nimekatisha tamaa ama kumpa moyo? Kila mtu ananunua kitu kwa lengo lake ndio mana kuna models nyingi za magari. Huyo kaamua ist si ndio tunachangia sasa, au ulitakaje?

Mimi siwez nunua hizo Hatcha si mimi na sio yeye ndio mana nimemshauri anunue, we vip mkuu au nawe unayo ka hiyo? Feel proud of ur decisions bloke

mkuu nikusoma asnte kwa ushauri wako. Tupo pa1 sana.....
 
Nimeskia hizo gari ziko nyingi sana Tz kwa sasa hope ni nzuri kuendea sokoni au job pia parking haitasumbua

ni nyingi kweli sio utani....! But nadhni kuna kitu special thats why watu wanazipenda....! Uchumi ndo kitu cha msingi sana kuzingatia.....
 
wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.

Mkuu wala wasikutishe chukua hiyo ist utafurahi mwenyewe kwanza ulaji wa mafuta uko poa sana na spea zipo nyingi ingawa ni bei kidogo,siku hizi kuendesha migari mikubwa ya juu juu sio ufahari kwani unaumia mafuta,nina chevrolet suv cc 3500 nilinunua nilipokuwa ughaibuni nikaja nalo bongo, nilikuwa naona ufahari sana kuendesha hili gari lakini baada ya muda kidogo nikagundua inakula kwangu kwa sababu kila siku napotaka kwenda mjini naweka mafuta ya elfu 30 pigia hesabu kwa mwezi ni sh ngapi , ikabidi nikanunue katoyota duet nilikafanyia modification nikafunga injini ya daihatsu terios ambayo ni turbo cc 660 nikiweka full tank ambayo ni lita 35 natembelea wiki nzima ambapo kila siku natembea km 60, na nishawahi kusafiria hiki kigari kwenda nacho Tanga,Arusha na Iringa hakijawahi kuchemka wala kunisumbua njiani.
 
Mkuu uko sawa kbs, ulifanya kosa kununua gari lisilo size yako, ungeanza chini then juu kuliko kuanza juu then chini! Mie nlianza na Chaser baloon in '07, 1.8cc 4s sikuwahi juta mpk sasa am not turning back to hatchs of ist calibre
 
Mkuu wala wasikutishe chukua hiyo ist utafurahi mwenyewe kwanza ulaji wa mafuta uko poa sana na spea zipo nyingi ingawa ni bei kidogo,siku hizi kuendesha migari mikubwa ya juu juu sio ufahari kwani unaumia mafuta,nina chevrolet suv cc 3500 nilinunua nilipokuwa ughaibuni nikaja nalo bongo, nilikuwa naona ufahari sana kuendesha hili gari lakini baada ya muda kidogo nikagundua inakula kwangu kwa sababu kila siku napotaka kwenda mjini naweka mafuta ya elfu 30 pigia hesabu kwa mwezi ni sh ngapi , ikabidi nikanunue katoyota duet nilikafanyia modification nikafunga injini ya daihatsu terios ambayo ni turbo cc 660 nikiweka full tank ambayo ni lita 35 natembelea wiki nzima ambapo kila siku natembea km 60, na nishawahi kusafiria hiki kigari kwenda nacho Tanga,Arusha na Iringa hakijawahi kuchemka wala kunisumbua njiani.

ushauri mzuri sana swala kuangalia uchumi ni la msingi sana cha muhimu mtu upo kwenye usafiri wako na upo free kwenda popote muda wowote. Mambo ya ufahari sina hayo mambo mie. Asnte sana mkuu kwa experiance nzuri.
 
msikatishe tamaa watu hv kuna gari za mademu na wanaume wanawake wanaendesha gari nyingi mfano prado,rava4,noah,ist ,spacio nk hata yako c kuna mademu wanatembelea wabongo tubadilike migari mikubwa ya nini kuendea kazini kuna gari ni maalum kwa masafa wewe unaendea kazini na miforeni ya dar linakugonga mafuta mfano magari ya 4 four drive wakati mizunguko ni town tu any way

Mkuu ni ulimbukeni na ubishoo wa kishamba tu hawana lolote.
 
Back
Top Bottom