Msaada! Bei ya hizi spare za Toyota IST

Msaada! Bei ya hizi spare za Toyota IST

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,284
Reaction score
39,511
Habari ndugu wana jukwaa,

Wakuu naombeni msaada wa bei za hzi spare za mtumba (OG). Aina ya gari ni Toyota ist (2006) kwa anaefaham bei zake, kuna ndugu yangu kapata majanga sasa fundi kamwambia abadilishe hzo spare

1. Wish Bon
2. Wish Bon Bush
3. Bol Joint
4. Shock up
5. Cross Joint
6. Kikombe
 
6.Kikombe kipi mzee?
 
1-3 hizo makadirio ya bei ni 20-25 kwa kila kimoja!

4.80K mpya kwa zenye standard quality kila moja

70K kwa za mtumba mbili!
 
Back
Top Bottom