msaada kuhusu magari aina ya toyota ist.

nundaz

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
255
250
wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.
 
Scofied

JF-Expert Member
Jun 5, 2012
2,431
2,000
Hiyo gari ni economic sana mkuu...inanusa mafuta mkuu....sema sidhani kama zinafaa kwa long safari...
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,942
2,000
ni gari zuri na inanusa mafuta ile mbaya ila tatizo moja kwa masafari ya kibongo halifai tafuta toyota rav4 ni zuri kwako

mkuu asnte sna kwa ushauri,inaweza ikawa inatumia lita moja kwa km ngapi? Vipi kuhusu gharama zake halisi from japan to the road? Kama una details zozote kuhusu hili please share with me....!
 
nundaz

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
255
250
ni gari zuri na inanusa mafuta ile mbaya ila tatizo moja kwa masafari ya kibongo halifai tafuta toyota rav4 ni zuri kwako

asante kwa ushauri mkuu.rav 4 ni gari nzuri but cost zake nadhani zipo juu compare to my ability...! Je ulishawahi kutumia hilo gari,i mean toyota ist? Je huna data za cost zake?
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,942
2,000
nimetumia rav4 ni zuri sana ndo mana nimekushauri ulitumie hilo au lingine ambalo ni zuri ni GAIA nalo zuri sana
asante kwa ushauri mkuu.rav 4 ni gari nzuri but cost zake nadhani zipo juu compare to my ability...! Je ulishawahi kutumia hilo gari,i mean toyota ist? Je huna data za cost zake?
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,953
2,000
Nimeskia hizo gari ziko nyingi sana Tz kwa sasa hope ni nzuri kuendea sokoni au job pia parking haitasumbua
 
TCleverly

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
1,923
0
wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.

it takes less than 30sec to get this info...
Toyota IST 1.3 (A) 2004 Specifications | New Cars | Oneshift.com
 
jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
439
250
ist ni nzuri sana ulaj mafuta mdogo kwa dar safi ila angalia unaushi wapi kama milima na mabonde alafu kuna matope haiwezi kama njia nzuri safi nunua garama kama unaagiza haizidi 9.5m hapa bongo kwenye yard ni 11 mpaka12m nashauri ununue ni gari nzuri sana utaifurahia
 
jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
439
250
Te te teeee mi siji nunua hizo hatchback aisee samtimz ni kama shape za toddlers shoes.

Ila mkuu mtoa mada we nunua tu coz tuko tofauti tofauti

msikatishe tamaa watu hv kuna gari za mademu na wanaume wanawake wanaendesha gari nyingi mfano prado,rava4,noah,ist ,spacio nk hata yako c kuna mademu wanatembelea wabongo tubadilike migari mikubwa ya nini kuendea kazini kuna gari ni maalum kwa masafa wewe unaendea kazini na miforeni ya dar linakugonga mafuta mfano magari ya 4 four drive wakati mizunguko ni town tu any way
 
Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
13,953
2,000
msikatishe tamaa watu hv kuna gari za mademu na wanaume wanawake wanaendesha gari nyingi mfano prado,rava4,noah,ist ,spacio nk hata yako c kuna mademu wanatembelea wabongo tunadilike migari mikubwa ya nini kuengea kazini kuna gari ni maalum kwa masafa wewe unaendea kazini na miforeni ya dar linakugonga mafuta mfano magari ya 4 four drive wakati mizunguko ni town tu any way

Nimekatisha tamaa ama kumpa moyo? Kila mtu ananunua kitu kwa lengo lake ndio mana kuna models nyingi za magari. Huyo kaamua ist si ndio tunachangia sasa, au ulitakaje?

Mimi siwez nunua hizo Hatcha si mimi na sio yeye ndio mana nimemshauri anunue, we vip mkuu au nawe unayo ka hiyo? Feel proud of ur decisions bloke
 
Chuck j

JF-Expert Member
Jun 17, 2011
2,352
2,000
wakuu nawasaLimu wote. Back to topic. Nimejaribu kucheki online haya magari aina ya toyota ist yenye cc 1300 gharama yake ya huko japani ni dollar 1280. Naomba wataalamu mnisaidie gharama Zake halisi mpaka kulitoa bandarini yaani mpaka liingie barabarani. Je wenye ufahamu unywaji wa mafuta upo vipi wa hizi gari? Tafadhari msaada na ushauri wote ntaupoke na kuufanyia kazi. Nawasilisha.

hiyo gar ni nzur sana,ulaji wake wa mafuta ni km 18 kwa lita 1, inafaa hata safari ndefu,ila iwe ya lami, kwa ninakoishi kimara mavurunza haifai road mbaya sana . Nyingine zinazoendana na ukubwa wa engine ni toyota kid(terios) ipo hata daihatsu terious,ni nzuri sana,ila hi ni 4wd.
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,379
2,000

Watu wanataka magari yasiyokunywa mafuta sasa sijui yanataka yawe yanakunywa mchemsho? Nimempa changamoto tu kama hvyo vi $1280 anaona vingi je hizo $265,000 za Maybach? Kama cc1300 anaona nyingi je cc6000 watu wanazonunua je? Kama anaona anataka kubana matumizi hyo 9m anayotaka kununua ist,awe anakodisha bajaji au pikipiki!
 
Last edited by a moderator:

nundaz

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
255
250
Watu wanataka magari yasiyokunywa mafuta sasa sijui yanataka yawe yanakunywa mchemsho? Nimempa changamoto tu kama hvyo vi $1280 anaona vingi je hizo $265,000 za Maybach? Kama cc1300 anaona nyingi je cc6000 watu wanazonunua je? Kama anaona anataka kubana matumizi hyo 9m anayotaka kununua ist,awe anakodisha bajaji au pikipiki!
mkuu kumbuka uwezo wa watanzania uko tofauti sana so usilazimishe kila mtu aishi maisha ya kifahari ya hayo magari unayodhani. Kitu cha msingi ni usafiri tu. Tupo tofauti sana hapa duniani.
 
nundaz

JF-Expert Member
Jun 8, 2012
255
250
hiyo gar ni nzur sana,ulaji wake wa mafuta ni km 18 kwa lita 1, inafaa hata safari ndefu,ila iwe ya lami, kwa ninakoishi kimara mavurunza haifai road mbaya sana . Nyingine zinazoendana na ukubwa wa engine ni toyota kid(terios) ipo hata daihatsu terious,ni nzuri sana,ila hi ni 4wd.

mkuu asnte kwa ushauri wako. Stay blessed.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom