JustineKitenge2016
Member
- Jul 17, 2016
- 46
- 62
Mfano mimi nilishachanganyikiwa nimeandikiwa no guantor sign wakat mzaz alisaini sa sielewi nifunge safari mpaka dar kutoka kigoma hadi nimechanganyikiwa
funga mkuu mm mwenyew now ndoa nimeingia DSM kesho naenda huko loan officeMfano mimi nilishachanganyikiwa nimeandikiwa no guantor sign wakat mzaz alisaini sa sielewi nifunge safari mpaka dar kutoka kigoma hadi nimechanganyikiwa
ila ulifanukiwa kupata mkopo?Yeah, utakuta kulekule form zako utfka unawaeleza na watakupa uarekebisha ilo tatzo.
Ondoa shaka, jiandae na safari usiangaike kutuma wala calls za sim
Nilipatwa na ilo tatzo pia, najua vzr na nicngependa kuona mwingie akiteseka.
usiwe na presha kupewa mkopo siyo lazima hilo lifahamu. ila nakushauri pitia na hapa;Loan applicants and/or their guarantors who have not signed their documents are required to physically visit HESLB offices on Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam to append signatures to their loan applications from Monday 3rd October 2016.Wadau mimi nimejaza kila kitu wananiambia NOT APPLICANT SIGNATURE and NOT SIGNED BY MAGISLATOR sasa sijui vip mnanishauri nini.
poa mkuu kesho nitaendausiwe na presha kupewa mkopo siyo lazima hilo lifahamu. ila nakushauri pitia na hapa;Loan applicants and/or their guarantors who have not signed their documents are required to physically visit HESLB offices on Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam to append signatures to their loan applications from Monday 3rd October 2016.
poa mkuu kesho nitaenda
Nenda TCU kbsa ndo walisema if signature hakuna bt km n vyet ndo unatuma thru ems
usiwe na presha kupewa mkopo siyo lazima hilo lifahamu. ila nakushauri pitia na hapa;Loan applicants and/or their guarantors who have not signed their documents are required to physically visit HESLB offices on Plot No. 8, Block No. 46 Sam Nujoma Road, Mwenge, Dar es Salaam to append signatures to their loan applications from Monday 3rd October 2016.
ila ulifanukiwa kupata mkopo?
funga mkuu mm mwenyew now ndoa nimeingia DSM kesho naenda huko loan office
Mfano mimi nilishachanganyikiwa nimeandikiwa no guantor sign wakat mzaz alisaini sa sielewi nifunge safari mpaka dar kutoka kigoma hadi nimechanganyikiwa