Ngiyemenya
Member
- Aug 11, 2016
- 67
- 32
Wadau mimi nimejaza kila kitu wananiambia NOT APPLICANT SIGNATURE and NOT SIGNED BY MAGISLATOR sasa sijui vip mnanishauri nini.
fanya ushughulike mapema apo inamaana ukueka sain zako uenda sehem zote pia ukupeleka kwa hakimu asaini au akusaini sehem zoteWadau mimi nimejaza kila kitu wananiambia NOT APPLICANT SIGNATURE and NOT SIGNED BY MAGISLATOR sasa sijui vip mnanishauri nini.
kwa hiyo mkuu wanasheria hata hapo loan board wapo? au ndo mpaka nimtafute aliyenisainia kwa mara ya kwanzafanya ushughulike mapema apo inamaana ukueka sain zako uenda sehem zote pia ukupeleka kwa hakimu asaini au akusaini sehem zote
kwa msaada zaid ungewachek loan board ata kwa simukwa hiyo mkuu wanasheria hata hapo loan board wapo? au ndo mpaka nimtafute aliyenisainia kwa mara ya kwanza
mhh yaani sahihi yangu na ya mwanasheria tu basikwa msaada zaid ungewachek loan board ata kwa simu
maana wamesema kama ni sain pekee bas utaitajika kwenda daslam na kama ni vitu vingine itabid umalize na utume ukiwa uko ulipo kwa nlivyoelewa apo nadhan yatakiwa umuone tena aliekusainia mwanzo ndio uambatane navyo kwenda daslam
mawazo yangu tu ayo japo kwa uakika wapigie simu ndugu
Kwanza kabisa nina hakika ile uliyotuma umetoa kopi kama walivyowashauri kipindi kile kwahiyo fananisha na makosa waliyokuambia ujiridhishe,Pili usilete kiburi wala kupuuza hili coz litakucost,labda kama kwenu mnajiweza mana hutapewa hata mia.Cha kufanya fanya juu chini utume yote waliyokuambiaWadau mimi nimejaza kila kitu wananiambia NOT APPLICANT SIGNATURE and NOT SIGNED BY MAGISLATOR sasa sijui vip mnanishauri nini.
kuu fomu yangu nitaikuta hukohuko loan?Kwa Uzi Wako unaonekana kua na stess za kukosa mkopo!!!!!
Sio ivo,Mungu kama alpanga kupata, amna wa kuzuia, iyo ni changamoto tuh• cha msingi kama n sgntre jiandae tuh uende dar,SAM NJOMA ROAD baada ya m city kwa mbele kama upo mkoani maana wao Ata kama utakosea ktu kdogo sana utakua notified na utalazmika kurudia icho ktu coz izo ni PESA mkuu.
Therefore, they work with highly careful
kaka nimelinganisha na copy lakini naona hakuna makosa sasa sijui wanataka niniKwanza kabisa nina hakika ile uliyotuma umetoa kopi kama walivyowashauri kipindi kile kwahiyo fananisha na makosa waliyokuambia ujiridhishe,Pili usilete kiburi wala kupuuza hili coz litakucost,labda kama kwenu mnajiweza mana hutapewa hata mia.Cha kufanya fanya juu chini utume yote waliyokuambia
typing errorwhat is doard mkuu? anyway we wasikilize tu maana sasa hamna namna nyingine na mwaka huu hawapendi ujinga kabisa na usipo tuma jua kuwa hawana shida na mtu, kupata loan sio kitu cha mchezo mchezo
We watumie tu ili kujilinda..kaka nimelinganisha na copy lakini naona hakuna makosa sasa sijui wanataka nini
Loan doard[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u made my dayWadau mimi nimejaza kila kitu wananiambia NOT APPLICANT SIGNATURE and NOT SIGNED BY MAGISLATOR sasa sijui vip mnanishauri nini.