Msaada kuhusu kununua mabelo ya mtumba

Mfollow mtu anaitwa mollentrends. Anaelekeza kilakitu. Na anauza mabelo pia. Ya kila aina. Sio kwa kubet.. kama unahitaji nguo za official zipo, blouse tupu yapo, suruali zenyewe yapo, unataka mchanganyiko pia unapata.
Na kama huna uwezo wa belo zima unaweza kuuziwa kwa jumla yani.
Yeye anaruhusu kulifungua bello na kulichungulia? Maana wengine wanauza kama uchawi nilishawahi kuingia hasara kubwa. Zule nguo zilipangwa na unyevunyevu kumbr zilioza taratibu taratibu kuja kulifungua aisee zilinyambuka zote hata moja haikubaki
 
Mmmh, pole sana i say.
Hapo kune kuchungulia sijapata uhakika. Ila unaweza jaribu kumuulza. I think inawezekana japo sina uhakika.
 
Belo za mtumba ni mnazi mmoja,
Ila bana belo ni kama ku beti, Nilishawahi ambulia mapajama loba zima.
Mimi kila nikikumbuka nalia nikiona mitumba natamani kuchoma moto, imagine nimennua balo nikakutana na ronya za mwaka nikajichanga nikannue lingine nizimulie ndo nikakuta matambara kabisa yaani sina ham na hii biashara imenifanya nimekua mdaiwa sugu had leo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Yeye anaruhusu kulifungua bello na kulichungulia? Maana wengine wanauza kama uchawi nilishawahi kuingia hasara kubwa. Zule nguo zilipangwa na unyevunyevu kumbr zilioza taratibu taratibu kuja kulifungua aisee zilinyambuka zote hata moja haikubaki
Hamna muuza belo anaeruhusu kuchungulia, na hii biashara yaani ni kubahatisha tu,nilifanya mwaka mzima nikajiona bingwa yalonikuta mwaka jana kipindi cha Corona yalinipa fundisho!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kila nikikumbuka nalia nikiona mitumba natamani kuchoma moto, imagine nimennua balo nikakutana na ronya za mwaka nikajichanga nikannue lingine nizimulie ndo nikakuta matambara kabisa yaani sina ham na hii biashara imenifanya nimekua mdaiwa sugu had leo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mimi balo sinunui kwa kweli, ni kubahatisha sana, bora ni point japo bei itakua juu kdg ila nina uhakika na mzigo wangu.
Uzuri najiamini katika ku point kazi za uhakika na ushapu.
 
Mimi balo sinunui kwa kweli, ni kubahatisha sana, bora ni point japo bei itakua juu kdg ila nina uhakika na mzigo wangu.
Uzuri najiamini katika ku point kazi za uhakika.
Ni kweli, mtu kama uko vizur kwenye kupoint ni mara 100 ukafanya hvyo, ubaya mimi siko vizuri kwenye kupoint hvo ikabidi niachane na hii biashara maana ilitaka kuniua na presha hahaha.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli, mtu kama uko vizur kwenye kupoint ni mara 100 ukafanya hvyo, ubaya mimi siko vizuri kwenye kupoint hvo ikabidi niachane na hii biashara maana ilitaka kuniua na presha hahaha.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Polee, ulikua una point wapi?
Mi naona kama karume hakuna Nguo za mitumba sana, ila viatu hapo siongei, hamna anayewakuta.
 
Huko huko karume, ni kweli karume kwa nguo bado halafu wama bei sana. Nikajaribu na ilala aisee lile mbiringe nilirud nyumbani empty,maana sio kwa kuporana kule nguo nikabaki hii

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Huko huko karume, ni kweli karume kwa nguo bado halafu wama bei sana. Nikajaribu na ilala aisee lile mbiringe nilirud nyumbani empty,maana sio kwa kuporana kule nguo nikabaki hii

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Yap karume sio kama hamna ila bei zao zipo juu, usiombee uchelewa wakiwa washazipanga,
Ilala sijawahi enda, Nitajaribu...
 
Hamna muuza belo anaeruhusu kuchungulia, na hii biashara yaani ni kubahatisha tu,nilifanya mwaka mzima nikajiona bingwa yalonikuta mwaka jana kipindi cha Corona yalinipa fundisho!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nipe uzoefu wako. Atleast wewe ulifanya mwaka mzima ulipata faida.
 
Mimi kila nikikumbuka nalia nikiona mitumba natamani kuchoma moto, imagine nimennua balo nikakutana na ronya za mwaka nikajichanga nikannue lingine nizimulie ndo nikakuta matambara kabisa yaani sina ham na hii biashara imenifanya nimekua mdaiwa sugu had leo.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Pole. Usikate tamaa. Ile biashara haina tofauti na kubeti. Yaani unalipa pesa nyingi kwa mzigo/ mali ambayo hujaona?
 
Mwanzo nilikuaga nachukulia mzigo karume; baadae nikahamia mnazi mmoja kuna mkaka yuko kule ni mzoefu ndo alikua ananichagulia,basi zikaanza heka heka za corona nikannua balo la kwanza halikua baya sana angalau lirudisha hela,⁶la pili na la mwsho ndo ilokua balaa kabisa nilihangaika nayo had mnadani wapii ndo ikawa imenikata ki namna hiyo. Ingawa baadae nlikuja kusikia kutokana na corona wengi walikua hawana mzgo mpya so walikua wanatoa store yalokaa sana.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Ni biashara nzuri faida yake ni double ukiwa na soko la uhakika na ukipata mzigo mzuri utajiona ww ndo mfanyabiashara bingwa, ila ukikosea step inakukata mtaji ndani ya dk hahaha!

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Nilimtuma Dada yangu nikampa mtaji wa kuanzia 1.2M aliuza mara ya kwanza akapata fiada laki tano ndani ya wiki moja. Akarudi tena akapata mzigo ndani ya wiki moja akapata faida laki 4. Kwa kweli ilikuwa ni biashara nzuri inachosha lakini inalipa. Tatizo lake badala ya kuweka ile faida akiba akaingia tamaa akaanza kuchukua laki 9 za faida kusema eti anajenga na banda kabisa la kuuzia. Kwangu mimi niliona anakuwa na haraka. Nilipomuonya akanijibu wewe Kaka hujui biashara umezoea kupokea mishahara tu. Nikakaa zangu kimya. Akamaliza ile faida ya laki tisa kwenye ujenzi wa banda. Aliporudi mara ya tatu akakutana na nguo zote zimeoza. Biashara ikafa moja kwa moja. Lakini kama ile laki tisa angeiweka kwanza akajijenga ingamwinua tena. Ujuaji ukawa mwingi na nyie wafanya biashara ukurupukaji unawazidi. Huyu dada yangu ukurupukaji ndio uliua mtaji.
 
Hiyo laki tisa ilishamuonyesha kuwa yeye n bingwa ... Akajua baada ya miezi sita hv hutamwambia kitu na ajira yako ...Akasau Kwenye biashara kuna risk na calculated risk .. ..Kweli alikurupuka mnoo
 
Biashara ya mtumba ina faida sana Huwez amini yule Sophia house biashara yake ni mtumba.Hata yule Johari Rotana mwenye jengo kubwa pale badarini posta biashara yake ni mtumba ila ni Whole sale.
Hivi Sophia House mbona kuna stori kuwa ni za Sophia Simba wa CCM kumbe ni stori tu za mjini ??
 
Nilimtuma Dada yangu nikampa mtaji wa kuanzia 1.2M aliuza mara ya kwanza akapata fiada laki tano ndani ya wiki moja. Akarudi tena akapata mzigo ndani ya wiki moja akapata faida laki 4. Kwa kweli ilikuwa ni biashara nzuri inachosha lakini inalipa. Tatizo lake badala ya kuweka ile faida akiba akaingia tamaa akaanza kuchukua laki 9 za faida kusema eti anajenga na banda kabisa la kuuzia. Kwangu mimi niliona anakuwa na haraka. Nilipomuonya akanijibu wewe Kaka hujui biashara umezoea kupokea mishahara tu. Nikakaa zangu kimya. Akamaliza ile faida ya laki tisa kwenye ujenzi wa banda. Aliporudi mara ya tatu akakutana na nguo zote zimeoza. Biashara ikafa moja kwa moja. Lakini kama ile laki tisa angeiweka kwanza akajijenga ingamwinua tena. Ujuaji ukawa mwingi na nyie wafanya biashara ukurupukaji unawazidi. Huyu dada yangu ukurupukaji ndio uliua mtaji.
Ni kweli kukurupuka kunacost sana, pole sana ila mtumba hauna ujanja hata magwiji huaga wanakutana na changamoto hizo,cha muhimu ni kua na akiba ili hata balo likikukata uwe na plan b kama ni ku point au kunnua tena balo lingine,lakini sisi huaga tunajisahau sana especially yakiwa hayajawah kukukuta.

Back
Top Bottom