Habar zenu wakuu,
Aisee nashida ya kufahamu kuhusu hil la upatikanaj wa nguo za mtumba kwa maana yale mabaro,(marobota) yanuzwa sehem gan jijin hpo, na bei gan kwa kila baro hasa kwa jeanz za kiume,
Na yyte anaefahamu zaid kuhusiana na hil iatakua vyema akinifaamisha juu ya biashara hii y ununuaji wa mabaro,mfn changamoto, au ujanja ujanja ktk kununua haya mabaro maana sina uzoefu na sijui chochote kuhusu hili,
Natanguliza shukran
Sent using Jamii Forums mobile app