Solo Traveller
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,734
- 5,199
Okey thanks for caringWanakuja wajuvi
Sawa shukran sana kamandaMchakato ulioambiwa na Advocate upo sahihi
Kweli maisha yanaenda kasi mwaka 2022 nililipa 30k kwa advocate kwa ajili ya deed pool.Nilienda kwa advocate akasema anaandaa deed pool kwa 50k
Inachukua muda gani kuweza kuruhusiwa kuanza kulitumia jina jipya mara baada ya kujaza deed poll?Mchakato ulioambiwa na Advocate upo sahihi
Ukishajaza hiyo deed poll 3copies na ubandike picha yako, weka viambatanisho vya majina peleka kwa msajili wa nyaraka/ ofisi ya usajili wa ardhi iliyokaribu yako ikasajiliwe bila usajili hiyo deed poll haijakamilika.Gharama za usajili 32500Inachukua muda gani kuweza kuruhusiwa kuanza kulitumia jina jipya mara baada ya kujaza deed pol?
Naomba nikusumbue kidogo kama hutojali!Ukishajaza hiyo deed poll 3copies na ubandike picha yako, weka viambatanisho vya majina peleka kwa msajili wa nyaraka/ ofisi ya usajili wa ardhi iliyokaribu yako ikasajiliwe bila usajili hiyo deed poll haijakamilika.Gharama za usajili 32500
Kwenye tangazo ni baada ya usajili na gharama ni zako.Naomba nikusumbue kidogo kama hutojali!
1. Inasemekana kuna kipengele cha tangazo kwenye gazeti la Serikali, hilo linafanyika wakati gani? Baada ya kujaza deed poll au baada ya kufanya usajili kwenye ofisi ya usajili wa ardhi?
2. Gharama ya kutoa tangazo kwenye gazeti la Serikali inabebwa na nani? La inalilpiwa, ni shilingi ngapi?
Usinikasirikie tafadhali!Kwenye tangazo ni baada ya usajili na gharama ni zako.
Tangazo monthUsinikasirikie tafadhali!
1.Tangazo linawekwa gazetini baada ya muda gani?
2. Gharama yake ni kama shilingi ngapi?
3. Wakati ukisubiria tangazo kutolewa gazetini utakuwa ukilitumia jina lipi, jipya au la zamani?
Unaruhusiwa kuanza kulitumia anytime baada ya kukamilisha mchakato .Inachukua muda gani kuweza kuruhusiwa kuanza kulitumia jina jipya mara baada ya kujaza deed poll?
Umeniacha kidogo mkuu hapo kwenye hukumu!Tangazo month
20,000-30,000 gazeti la serikali na mwanachi pia. If told
Jina la zamani utalitumia mpaka hukumu itoke.
Bado sijaelewa Dr! Mchakato katika hatua ipi?Unaruhusiwa kuanza kulitumia anytime baada ya kukamilisha mchakato .
Mahakama, hakimu wako. Atayesimamia kubadirisha jina lako. Hukumu ni majibu ya ombi lako.Umeniacha kidogo mkuu hapo kwenye hukumu!
Hukumu inatolewa wapi? Nani mtoa hukumu?
inachukua siku 3 tuu… ikishapitishwa na msajili hapo hapo unaanza kutumia majina mapyaInachukua muda gani kuweza kuruhusiwa kuanza kulitumia jina jipya mara baada ya kujaza deed poll?
Samahani kidogo naomba kujuzwa zaidi, je kama ni muajiriwa serikalini ukibadilisha majina haitaweka matatani ajira yangu baada ya kuanza kutumia jina jipya?Ukishajaza hiyo deed poll 3copies na ubandike picha yako, weka viambatanisho vya majina peleka kwa msajili wa nyaraka/ ofisi ya usajili wa ardhi iliyokaribu yako ikasajiliwe bila usajili hiyo deed poll haijakamilika.Gharama za usajili 32500