Msaada kuhusu kubadili kozi chuoni

Msaada kuhusu kubadili kozi chuoni

tatizo jinsi mnavyopanga kozi hata wanaofanya selection wanaona kabisa hamna akili sorry!

mfano unachagua computer science, computer engineering, information technology , telecommunications hata anaye select anajua dogo huyu ana passion na anachoomba pia anaelewa,

utakuta mawanafunzi anachagua ualimu, kilimo, ICT, Business hapa hata wanaofanya selection wanashindwa kuelewa kama wew kweli msomi au unataka tu bora uende chuo maana ulivyochagua vyote havi hata mahusiano inamaana hauna passion wala dira ya unachotaka kusoma wew unasoma tu bora umesoma watu kama nyiny huwa mnawekwa mwisho pale vigezo vikifanana maana inaonekana mpo tayari kusoma kozi yeyote bora wapatiwe priority wanao onesha kuelewa nini wanafanya.
Ndugu sema tu kama umesha pita hii level ww jimwage tu ila yalaiti ungejua hata robo tu ya shida tunazopata akii ungetuonea huruma kuna watu wa 1 ya 8 wapo nyumban mpaka muda huu naandika na amejaza vyuo vya afya tu
 
Kama hapo hata kazi anazoweza kuja kufanya hajui...!! Yani hiyo degree yake hakuna mahali kashawahi kuiona inahitajika mtu kuwa na sifa kama hizo..

Kwanza pole sana kijana kimsingi hata mimi mdogo wangu alisoma CBG now yupo sua anasoma Horticulture at least hii inalipa japo sio sana ukika kwenye Ishu za Kilimo cha kisasa hasa maua inalipa laiti home kungekuwa na uwezo na wazazi wangekuwa waelewa dogo ningekomaa dogo asiende A level kwa Comb ya CBG bora ukasome Diploma mara 1000 kama vigezo vinakizi CO lakini kipindi hiki CBG ni KUPOTEZA MUDAAAA... hujachelewa sana ila hiyo comb yako angalia inahusu nini hasa ingia Google isome labda unaweza kuja kujiajiri kupitia hiyoo! System yetu ya elimu haijui kuwapa watu wanachohitaji ili kufanikiwa inawapa watu wanachostahili hata kama wanapotea[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
CBG Miaka Minne mitano nyuma huko, watu waliifaidi....walisoma Pharmacy, Lab....Safi kabisa...Wengine walisoma hadi MD.
 
Nimemwambia option ya kwenda Diploma ya Afya kama ana uwezo na endapo o level credit zinamruhusu bora kuanza upya kuliko kupoteza miaka mingine 3 ya mateso na future yake hana matumaini atafanya kazi gani ukute hata bumu na ada hanaa sasa gharama za miaka yote hiyo bora aanze diploma CLINICAL OFFICER.
Huu ushauri mzuri.

Sasa sijui kama bado Maombi ya Diploma yanatumwa[emoji134]
 
tatizo jinsi mnavyopanga kozi hata wanaofanya selection wanaona kabisa hamna akili sorry!

mfano unachagua computer science, computer engineering, information technology , telecommunications hata anaye select anajua dogo huyu ana passion na anachoomba pia anaelewa,

utakuta mawanafunzi anachagua ualimu, kilimo, ICT, Business hapa hata wanaofanya selection wanashindwa kuelewa kama wew kweli msomi au unataka tu bora uende chuo maana ulivyochagua vyote havi hata mahusiano inamaana hauna passion wala dira ya unachotaka kusoma wew unasoma tu bora umesoma watu kama nyiny huwa mnawekwa mwisho pale vigezo vikifanana maana inaonekana mpo tayari kusoma kozi yeyote bora wapatiwe priority wanao onesha kuelewa nini wanafanya.
Mkuu uko right kabisa madogo siku hizi wanachagua kozi kwa fasheni! Hasa jina la degree program likimpendeza ila hajui ataenda somea kitu gani
 
Wakubwa nimemaliza kidato cha 6 .comb CBG na nimepata daraja 2.12 . Nimechaguliwa SUA kozi ya shahada ya science in family and consumer study.

Naomben ushauri kuhusu hiyo kozi na pia nilikuwa na mpango wa wa kuibadili. Je, kwa matokeo yangu hayo naweza pata kozi gani pale SUA?

Naomben msaada wa mawazo wakubwa maana nimechanganyikiwa na hiyo kozi niliyo chaguliwa.
Somea unachopenda...

Achana na niliambiwa nisome, nilishinikizwa kusomea, nili.....
LISTEN TO YOUR HEART"
Raha ya kusomea unachopenda ni "RAHISI KUJIAJIRI PIA""

Jiulize unapenda/ulikua unataka/ndoto zako ni kua nani? ANZIA HAPO.

Mfano:
Mi nilisoma PCB ila sijawahi kuwaza kuwa kwenye SECTOR ya AFYA..

Nilipenda biashara NIKASOMEA BIASHARA.

GOOD LUCK.
 
Kibaya zile tunazo zipenda hatuchaguliwi matokeo yake una pata kitu ambacho haujawahi ata kuota tu
Mi ilinitokea hili....

ila nilichofanya ni "Nili chagua course mbovuuu kwenye chuo chenye course nayotaka, NIKAENDA KUBADILISHA CHUO KWENDA COURSE NAYOTAKA""
 
Basi shukuru maana unakuta mtu unataka BVM harafu umechaguliwa education kashe ya kuama course unaweza lia mbona
Mi ilinitokea hili....

ila nilichofanya ni "Nili chagua course mbovuuu kwenye chuo chenye course nayotaka, NIKAENDA KUBADILISHA CHUO KWENDA COURSE NAYOTAKA""
 
Kwanj wenyewe hao SUA wanasema ukisoma hiyo kozi unakuwa nani,mi naona kama housiboi au gelo vilee
 
Una elimu gani mkuu, umefanikiwa kufika level gani
La saba nimefika level ya shule ya msingi...!! Mtu anasoma CBG kukwepa Physics alafu anatarajia aje kusoma Kozi ya Afya ni kupoteza Mudaaa... Ukweli mchungu ukisoma hiyo Comb jiandae kwenda SUA kupambana na wanyama na mimea
 
Back
Top Bottom