Msaada kuhusu kubadili kozi chuoni

Msaada kuhusu kubadili kozi chuoni

daltony temu

Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
10
Reaction score
4
Wakubwa nimemaliza kidato cha 6 .comb CBG na nimepata daraja 2.12 . Nimechaguliwa SUA kozi ya shahada ya science in family and consumer study.

Naomben ushauri kuhusu hiyo kozi na pia nilikuwa na mpango wa wa kuibadili. Je, kwa matokeo yangu hayo naweza pata kozi gani pale SUA?

Naomben msaada wa mawazo wakubwa maana nimechanganyikiwa na hiyo kozi niliyo chaguliwa.
 
Ukimaliza unaweza kufanya kazi gani au hata wewe hujui????
 
Hongera sana mm mwenzio Nina two ya 12 cbg combination ila sijapata chuo na niliomba sua
 
kwanin mnachagua koz ambazo hamzielewi kwanib mnachagua kozi ambazo hamzipendi inakuaje hii?
Kama hapo hata kazi anazoweza kuja kufanya hajui...!! Yani hiyo degree yake hakuna mahali kashawahi kuiona inahitajika mtu kuwa na sifa kama hizo..

Kwanza pole sana kijana kimsingi hata mimi mdogo wangu alisoma CBG now yupo sua anasoma Horticulture at least hii inalipa japo sio sana ukika kwenye Ishu za Kilimo cha kisasa hasa maua inalipa laiti home kungekuwa na uwezo na wazazi wangekuwa waelewa dogo ningekomaa dogo asiende A level kwa Comb ya CBG bora ukasome Diploma mara 1000 kama vigezo vinakizi CO lakini kipindi hiki CBG ni KUPOTEZA MUDAAAA... hujachelewa sana ila hiyo comb yako angalia inahusu nini hasa ingia Google isome labda unaweza kuja kujiajiri kupitia hiyoo! System yetu ya elimu haijui kuwapa watu wanachohitaji ili kufanikiwa inawapa watu wanachostahili hata kama wanapotea[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sasa unashauri au unaponda
 
Ngoja waje Wenye ufahamu kuhusu hiyo kozi watakufahamisha mkuu
 
Heri unyamaze kuliko kuponda,sas maelekezo yako uliyotoa yatamsaidia nn kwamba kusoma cbg ni kupoteza mda na tayari kashaisoma afanye nn sasa
Nimemwambia option ya kwenda Diploma ya Afya kama ana uwezo na endapo o level credit zinamruhusu bora kuanza upya kuliko kupoteza miaka mingine 3 ya mateso na future yake hana matumaini atafanya kazi gani ukute hata bumu na ada hanaa sasa gharama za miaka yote hiyo bora aanze diploma CLINICAL OFFICER.
 
dah .wakubwa .elimu ya bongo kwel ni ngumu ..watu wanafaulu lakin stil stress .dah asanten kwa mawazo wakubwa ila its real confused..na famia zetu za kimaskin...!
 
Wakuu iv pindi tunapoomba vyuo si tunachagua wenyewe fucult? usisubirie wa2 kukupa moyo Fanya unachoona sahihi kwako
 
Kibaya zile tunazo zipenda hatuchaguliwi matokeo yake una pata kitu ambacho haujawahi ata kuota tu
tatizo jinsi mnavyopanga kozi hata wanaofanya selection wanaona kabisa hamna akili sorry!

mfano unachagua computer science, computer engineering, information technology , telecommunications hata anaye select anajua dogo huyu ana passion na anachoomba pia anaelewa,

utakuta mawanafunzi anachagua ualimu, kilimo, ICT, Business hapa hata wanaofanya selection wanashindwa kuelewa kama wew kweli msomi au unataka tu bora uende chuo maana ulivyochagua vyote havi hata mahusiano inamaana hauna passion wala dira ya unachotaka kusoma wew unasoma tu bora umesoma watu kama nyiny huwa mnawekwa mwisho pale vigezo vikifanana maana inaonekana mpo tayari kusoma kozi yeyote bora wapatiwe priority wanao onesha kuelewa nini wanafanya.
 
Kama hapo hata kazi anazoweza kuja kufanya hajui...!! Yani hiyo degree yake hakuna mahali kashawahi kuiona inahitajika mtu kuwa na sifa kama hizo..

Kwanza pole sana kijana kimsingi hata mimi mdogo wangu alisoma CBG now yupo sua anasoma Horticulture at least hii inalipa japo sio sana ukika kwenye Ishu za Kilimo cha kisasa hasa maua inalipa laiti home kungekuwa na uwezo na wazazi wangekuwa waelewa dogo ningekomaa dogo asiende A level kwa Comb ya CBG bora ukasome Diploma mara 1000 kama vigezo vinakizi CO lakini kipindi hiki CBG ni KUPOTEZA MUDAAAA... hujachelewa sana ila hiyo comb yako angalia inahusu nini hasa ingia Google isome labda unaweza kuja kujiajiri kupitia hiyoo! System yetu ya elimu haijui kuwapa watu wanachohitaji ili kufanikiwa inawapa watu wanachostahili hata kama wanapotea[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
CBG inataka ufaulu, sio uwe na marks chache maana kozi zake zina watu wengi. Afu ukute mdogo wako ni yulee manzi nnaemmendea. Sema kanambia kaka yake yuko jeshini[emoji4][emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Wenye one ya 3 wenyewe wanaishia kuwa maafisa mifugo shubamit
 
Back
Top Bottom