Msaada kuhusu ku-apply upya NACTE

Msaada kuhusu ku-apply upya NACTE

festussostenes

New Member
Joined
Dec 3, 2015
Posts
4
Reaction score
1
Habari wanajukwaa, naomba kuuliza kuhusu case hii inayomhusu rafiki angu. Mwaka jana yaani 2015/2016 aliomba kusomea TECHNICIAN CERTIFICATE ya kozi flani ya afya miaka miwili katika chuo flani. Bahati nzuri alikuwa selected na akaenda kusoma.
Bahati mbaya amekutana na kikwazo cha ada ikabidi aamue ku-drop, sasa anafanya application upya ili aombe UALIMU DIPLOMA ila kila akifungua CAS ili afanye registration anakutana na ujumbe "ERROR 101, INDEX NUMBER AND EXAMINATION YEAR PROVIDED ALREADY REGISTERED" . Kama una uzoefu tusaidiane juu ya hili maana NACTE hawajatoa limit wala ufafanuzi juu ya watu wenye case kama hizi
 
Kama yupo Dar itakuwa vzr aend kuonana na nacte idara ya student affairs wanaweza msaidia nn afanye au la km ww upo mjin dsm wawezafika hapo
 
Mseti athumananlt: 17013270 said:
Aende chuoni achukue barua inayathibitisha Kuwa hakuripot aipeleke nacte watengue file lake
Aliripoti na alikuwa anasoma
 
Back
Top Bottom