Msaada kuhusu hili changamoto kwenye kupata passport

Msaada kuhusu hili changamoto kwenye kupata passport

Mr Beach Boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
1,702
Reaction score
5,115
Wakuu habari

Nipo mkoani Tabora wilaya ya kaliua kata ya usinge
Nataka kukata passport ya kusafiria
Swali langu je
Fingerprint

Picha wanachukulia mkoani au hata wilayani?

Mana Nina pesa kama 160k kwa ajili kufatilia Hilo suala viambato vyote vipo je lazima niende mkoani au hapa hapa wilayani wanamalizia kila kitu?
 
Kama kuna vifaa vya kuchukua biometrics huko wilayani hakuna shida, ila kama hakuna lazima uende mkoani.
 
Kwanini usiende huko kwa wahusika wilayani wakakupe muongozo?
 
Kwanini usiende huko kwa wahusika wilayani wakakupe muongozo?
Nipo mbali na ofisi za wilaya ni zaidi ya km 50 sasa nataka kupata uhakika niende full documented ili nimalize kila kitu nauli ya kwenda kurudi sina mkuu
 
Wakuu habari
Nipo mkoani Tabora wilaya ya kaliua kata ya usinge
Nataka kukata passport ya kusafiria
Swali langu je
Fingerprint
Picha wanachukulia mkoani au hata wilayani?

Mana Nina pesa kama 160k kwa ajili kufatilia Hilo suala viambato vyote vipo je lazima niende mkoani au hapa hapa wilayani wanamalizia kila kitu?
Hapo lazima ufike Tabora mjini...
 
Back
Top Bottom