Msaada kuhusu FTA dish

Msaada kuhusu FTA dish

Rodwell mTZ

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
1,544
Reaction score
1,722
Halo wana JF mimi ni mwana JF mwenzenu sijawahi miliki wala kutumia dish na decoder ambazo ni free to air sasa nataka kuwa na dish hilo,please naomba ushauri wenu ni aina ipi itanifaa la kampuni ipi bei gani na channel zipi litakuwa nazo . natanguliza wingi wa shukrani JF kisima cha maarifa oyeee!
 
  • Nunua dish la futi 6
  • Linauzwa kati ya TSH 90'000 hadi 120'000 inategemeana ni wapi umelikuta na ni la ubora upi
na channel zipi litakuwa nazo
Idadi ya channel inategemea
  • Ni satelite ipi umefungiwa
  • Idadi ya LNB ulizo fungiwa - Kila LNB moja itakupatia FTA channel kadhaa
Aina ya Decorder
Fundi Dish
Nipigie 0784 496 856 kwa msaada zaidi KARIBU
 
lwa msaada zaidi KARIBU[/QUOTE] Asante kwa kunielimisha mamba yako nimeitunza
 
Back
Top Bottom