Msaada kuhusu course ya environnent law

Msaada kuhusu course ya environnent law

Chimunu

Senior Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
159
Reaction score
25
Habarin ni matumaini yangu kua wazima .Ninahitaji kupata msaada mimi ni muhitim wa bachelor ya education katika mizunguko yangu nmepata nafasi ya kwenda kusoma masters china lakin katika kozi ya environnental law mm nilisoma geography katka bachelor yqngu je hii coz inanifaaa? La pili je hii coz ina soko ktk ajira hapa nchin mwenye ujuz anisaidie
 
Vuta subira, wajuzi wa mambo huenda wanakuja
 
Habarin ni matumaini yangu kua wazima .Ninahitaji kupata msaada mimi ni muhitim wa bachelor ya education katika mizunguko yangu nmepata nafasi ya kwenda kusoma masters china lakin katika kozi ya environnental law mm nilisoma geography katka bachelor yqngu je hii coz inanifaaa? La pili je hii coz ina soko ktk ajira hapa nchin mwenye ujuz anisaidie
AISEE SI UMEMALIZA WITH BACHELOR'S OF SCIENCE WITH EDUCATION..???
 
Habarin ni matumaini yangu kua wazima .Ninahitaji kupata msaada mimi ni muhitim wa bachelor ya education katika mizunguko yangu nmepata nafasi ya kwenda kusoma masters china lakin katika kozi ya environnental law mm nilisoma geography katka bachelor yqngu je hii coz inanifaaa? La pili je hii coz ina soko ktk ajira hapa nchin mwenye ujuz anisaidie
NA BILA KUPAPASA MACHO ENVIRONMENTAL LAW INA FURSA MZEE TENA KWA SASA MIRADI MINGI YA AWAMU YA TANO NI MIUNDOMBINU NA UWEKEZAJI KWAHIYO TAASISI ZA MAZINGIRA NA VYOMBO VYA KISERIKALI KAMA NEMC WANAANDAA POLICIES AND NEW LAWS KU HANDLE ISSUES GOVERNMENT NA INVESTORS WANAZOKUMBANA NAZO NA KUANDAA MAZINGIRA RAFIKI YA SHUGHULI ZA KIMKAKATI KUFIKIA MALENGO KATIKA MDA HUSIKA KAMA PROJECT YA RUFIJI KULE. SO KWA KIFUPI SERIKALI YA SASA UPO MKONDO MUHIMU PIA WA FURSA NDUGU. DO FURTHER RESEARCHES AND BE CURRENT WITH GLOBE AND INTERIOR ISSUES NECESSARY CONCERNING ENVIRONMENT MATTERS HAUTA KUWA NYUMA KAMWE.
 
Back
Top Bottom