Msaada kuhusu Butcher la Samaki

Msaada kuhusu Butcher la Samaki

Wakuu habari!

Naomba wenye ujuzi wa biashara za samaki, kama wenye mabucha mniambie gharama zake zikoje.

Nina plan ya kuanzisha biashara hii Mungu akijaalia ninahitaji info za kutosha ili nikiji commit nisije kujilaumu mambo yakienda kushoto.

Nahitaji kujua gharama na ushauri wa vitu hivi hapa chini:-

*Mashine ya kukatia
*Samaki bei zake ( Sato & Sangara)
*leseni zipi zinazohitajika kuanzisha butcher la samaki
*Mkoa upi ni cheap kununua samaki?
*freezer aina gani inafaa?

Kama kuna jengine sijaliandika hapo pia mnaweza kunishauri
Unaweza kuniona ukihitajia ushauri kwenhe vifaa.
Maana mimi ndio kazi yangu 0779420000
20210429_115350.jpg
 
Back
Top Bottom