Biashara ya Bucha la Kitimoto (Pork Butcher)

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
823
1,963
Wajuvi wa JF

Katika kufikiria namna ya kutoka kimaisha hapa mjini kujiajiri hakuepukiki maana ajira hakuna. Naombeni mnisaidie mchanganuo wa nini kinahitajika katika biashara hii.

Location nipo Dar es Salaam, mtaa ninaoishi naona bucha za nyama ya ngombe samaki na mbuzi lakini mdudu pemdwa hakuna hivyo naiona fursa hapa.

Mtaji kiasi gani utafaa? Taratibu zipi za kupitia kuianza biashara hii? Upatikanaji wa wateja hapa mjini maana pwani hii...

1624262431227.png

Michango ya wadau
Biashara ni nzuri na soko lipo

Changamoto zake

1. Vijana wa kazi ni wezi sanaa (pima mzigo pale pale unapo mkabidhi mzigo ukimpa kisogo kidogo tu umeliwa anakata kipande anaenda kuuza) na kumbuka ye hana hasara yeyote anachoiba akiuza ni faida yake yote hana gharama za manunuzi.

2. Nyama inabaki vipande vipande vidogo vidogo unaweka kwenye fridge ile ni hela maana yake unakata msingi / faida.....kidogo kidogo utashangaa fridge linajaa viporo ambavyo vyote ni hela (Hasara) ama sivyo ujipange ku roast hapo hapo pia....upate wateja wa roast na butcher ukimbize kama kawa. Naona wengi wanafanya hivi its the new trend.
Cheza na supplies pia.....washua wananunua bei nzuri for some standard quality meat.

3. Changamoto za ma fridge yanatakiwa yawe ON gharama za umeme zinahusika na ujue fika nyama ikiganda sana inakuwa ngumu kupima na ikiyeyuka ina poteza ladha...so make sure una balance mzigo uwe unatembea...uwe na boda boda ya supplies kama huwezi supply mwenyewe

4. Jipange na mashine ya kukata nyama (ukitaka kununua nicheck ninayo ya kwangu mpyaaa 3 months used - Japan Technology) mambo ya kukata nyama kwenye vigogo hamna siku hizi fine yake ukidakwa utafurahi.

Wapo watu wana turnovers balaa kakosa sana 300 Kgs a day....muhimu closer supervision. Kuna jamaa analeta kitimoto from moshi 100 - 150 of them anachinja anapeleka butcher kwake....siku 3 - 4 kamaliza. Kujipanga tu

Best Of Luck
Freezer zuri si chini ya laki 6 kwa kuanza nunua moja ila lazima huko Mbeleni utahitaji mawili (viporo vitaanza kujaa utafurahi) ila sababu utakua una roast haitakua shida nyama itakuwa hairundikani kama ya ng’ombe ambayo sumtyms inabdi uuze bei za offer kwa mama lishe.

Mashine 1.5 - 1.8 M yangu nauza 1.2 M kuwa makini mjini zipo fake nyingi, yangu utakuja kuinunua nyumbani na utapajua napoishi....nlikua na mbili moja nishauza (nilikuwa nafanya biashara ya ma butcher mawili ya nyama za ng’ombe nikaacha kuna mambo yangu flani nayaweka sawa nitarudi upya mwakani God willingly)

Karibu
 
Upo sahihi kabisa Mkuu pia ongezeana changamoto za upatikanaji wa Nguruwe maana inabidi kila ifikapo saa nane mchana uwe umepata mzigo wa kuchinja kesho yake ili uwe na mwanzo mzuli sasa tafuta ata Nguruwe sita adi kumi wa kuanza nao itakufanya kuwa na mwanzo mzuli Mkuu
Kila lakheli Mkuu
 
Asante sana mkuu maisha zinauzwa kwa bei gani pia freezer nzuri kuanzia shingapi
Biashara ni nzuri na soko lipo

Changamoto zake

1. Vijana wa kazi ni wezi sanaa (pima mzigo pale pale unapo mkabidhi mzigo ukimpa kisogo kidogo tu umeliwa anakata kipande anaenda kuuza) na kumbuka ye hana hasara yeyote anachoiba akiuza ni faida yake yote hana gharama za manunuzi.

2. Nyama inabaki vipande vipande vidogo vidogo unaweka kwenye fridge ile ni hela maana yake unakata msingi / faida.....kidogo kidogo utashangaa fridge linajaa viporo ambavyo vyote ni hela (Hasara) ama sivyo ujipange ku roast hapo hapo pia....upate wateja wa roast na butcher ukimbize kama kawa. Naona wengi wanafanya hivi its the new trend.
Cheza na supplies pia.....washua wananunua bei nzuri for some standard quality meat.

3. Changamoto za ma fridge yanatakiwa yawe ON gharama za umeme zinahusika na ujue fika nyama ikiganda sana inakuwa ngumu kupima na ikiyeyuka ina poteza ladha...so make sure una balance mzigo uwe unatembea...uwe na boda boda ya supplies kama huwezi supply mwenyewe

4. Jipange na mashine ya kukata nyama (ukitaka kununua nicheck ninayo ya kwangu mpyaaa 3 months used - Japan Technology) mambo ya kukata nyama kwenye vigogo hamna siku hizi fine yake ukidakwa utafurahi.

Wapo watu wana turnovers balaa kakosa sana 300 Kgs a day....muhimu closer supervision. Kuna jamaa analeta kitimoto from moshi 100 - 150 of them anachinja anapeleka butcher kwake....siku 3 - 4 kamaliza. Kujipanga tu

Best Of Luck
 
asante sana mkuu
maisha zinauzwa kwa bei gani pia freezer nzuri kuanzia shingapi

Freezer zuri si chini ya laki 6 kwa kuanza nunua moja ila lazima huko Mbeleni utahitaji mawili (viporo vitaanza kujaa utafurahi) ila sababu utakua una roast haitakua shida nyama itakuwa hairundikani kama ya ng’ombe ambayo sumtyms inabdi uuze bei za offer kwa mama lishe.

Mashine 1.5 - 1.8 M yangu nauza 1.2 M kuwa makini mjini zipo fake nyingi, yangu utakuja kuinunua nyumbani na utapajua napoishi....nlikua na mbili moja nishauza (nilikuwa nafanya biashara ya ma butcher mawili ya nyama za ng’ombe nikaacha kuna mambo yangu flani nayaweka sawa nitarudi upya mwakani God willingly)

Karibu
 
Biashara ni nzuri na soko lipo

Changamoto zake

1. Vijana wa kazi ni wezi sanaa (pima mzigo pale pale unapo mkabidhi mzigo ukimpa kisogo kidogo tu umeliwa anakata kipande anaenda kuuza) na kumbuka ye hana hasara yeyote anachoiba akiuza ni faida yake yote hana gharama za manunuzi.

2. Nyama inabaki vipande vipande vidogo vidogo unaweka kwenye fridge ile ni hela maana yake unakata msingi / faida.....kidogo kidogo utashangaa fridge linajaa viporo ambavyo vyote ni hela (Hasara) ama sivyo ujipange ku roast hapo hapo pia....upate wateja wa roast na butcher ukimbize kama kawa. Naona wengi wanafanya hivi its the new trend.
Cheza na supplies pia.....washua wananunua bei nzuri for some standard quality meat.

3. Changamoto za ma fridge yanatakiwa yawe ON gharama za umeme zinahusika na ujue fika nyama ikiganda sana inakuwa ngumu kupima na ikiyeyuka ina poteza ladha...so make sure una balance mzigo uwe unatembea...uwe na boda boda ya supplies kama huwezi supply mwenyewe

4. Jipange na mashine ya kukata nyama (ukitaka kununua nicheck ninayo ya kwangu mpyaaa 3 months used - Japan Technology) mambo ya kukata nyama kwenye vigogo hamna siku hizi fine yake ukidakwa utafurahi.

Wapo watu wana turnovers balaa kakosa sana 300 Kgs a day....muhimu closer supervision. Kuna jamaa analeta kitimoto from moshi 100 - 150 of them anachinja anapeleka butcher kwake....siku 3 - 4 kamaliza. Kujipanga tu

Best Of Luck

Mkuu hapa hapa sikupata anachinja nguruwe 100 kwa siku 3 mpaka 4
 
Back
Top Bottom