Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 723
- 544
Wakuu mliosoma chuo cha Mzumbe na mnaosoma Mzumbe nataka kujuzwa kuhusu kurudia mwaka. Ishu iko hivi, ndugu yangu ali disco baada ya hapo aliandika barua ya ku appeal. Wiki ilopita alhamisi kapata majibu kwamba kachomoa somo moja lakini kwa hali ya kifedha ilivyo ngumu tumeshindwa kumlipia ada kwahiyo inabidi andike barua ya kusimamisha mwaka yani ku 'postpone' mwaka.
Sasa wakuu naombeni msaada nifanyaje kwa maana anasema wenzake Jumanne ya kesho wanaanza mitihani na yeye ana zile sap ambazo ilibidi azifanyie mitihan na sasa yuko huku mkoa hayupo Moro na mimi hata nauli ya kumpa aende Moro chuo sina.
Wakuu nisaidieni kutatua hili tatizo mana nimechanganyikiwa sitaki apoteze mwaka. Naombeni msaada wakuu