Nimejaribu kuweka sora template,,lakini hamna auto ads bado,,,kila kitu nimeweka vyema ila page level ads bado mtihani,,,nimegoogle mnoo,,ila sijapata jibu,,,sora ndo zinapendwa na watu sana
however inaomekana kuwa page level ads zinakubali zaidi kwenye site au blog zilizotengenezwa kwa wordpress ambapo wao huwa wanqtumia plugins..
nimeingia forum za google product naona sioni mwenye jibu kamili,,
page level ads ndio zina boost earning,,