Msaada kuhusu Blog (blogger)

Msaada kuhusu Blog (blogger)

Mtihani uko hapa
 

Attachments

  • 2018-03-22 19.16.20.png
    2018-03-22 19.16.20.png
    71.3 KB · Views: 38
Kati ya info links na google adsense ipi ambayo haina masharti magumu na inatoa mpunga mzuri?
Kila kampuni ina masharit yake,,
kama unapata viewer wengi ,,,jaribu pop ads,, pop under ads,,,sina uhakika kama inakubali kwa kiswahili
ila,,
kampuni zenye Pesa nzuri ni adsense na Media net.
ila wanamashariti magumu mmmnoo,
wanataka supported language walizopanga wao ,,,kuna watu wana blog au wesite za kiswahili na kiingereza
yaani anaandika kiswhili then ana kudirect kwenye ya kiingereza ambayo ndio ina adsense ! Sijajua wanafanyeje,,,coz mimi sijasoma IT but am just interested in,,,, Kwaiyo unaweza fanya ivyo ukiona inazingua sana,,,
 
Back
Top Bottom