Omkama
Senior Member
- Feb 19, 2012
- 131
- 47
Poleni na majukumu ya kila siku ndugu zangu. Nahitaji kuboresha blog yangu, naomba mnisaidie kujua mambo yafatayo:
1.kubadili background nitumie nayoitaka mimi
2. Kuweka mda rasmi mtumiaji anapokuwa ameingia ioneshe mda rasmi
3. Kuweka Kipengele cha Latest news na habari zake ambazo ni latest ziwe zinapita zenyewe moja baada ya ingine.
4. Nikipost kitu kwenye blog basi kijipost na kwenye facebook ili kuongeza viewers
5. Mwisho nimefungua account ya adsense ili kupata malipo lakin kuna sehem moja wananiomba url nimeweka ile ya kwenye blog system inagoma tafadhar wakuu naweka picha mnisaiide kwamba url inayohitajika ni ipi?
Naomba pitieni blog yangu mtabaini mapungufu iliyonayo ili mnisaidie ya kuiboresha iweze kuwa na watumiaji wengi http://minda-mambo@blogspot.com
Picha ya adsense url inayogoma ni hii kwenye picha